Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Nani kalala etiMoningi Makapuku, aisee kweli nyie ni walalahoi, yaani wote.mmechoka na kulala fofofo mwee
Nani kalala etiMoningi Makapuku, aisee kweli nyie ni walalahoi, yaani wote.mmechoka na kulala fofofo mwee
Huko ndo wamelalaNgoja nihamie kwenye jukwaa la siasa
Hahahahaha mkuu upo?, mimi ndiyo nataka kulalaNani kalala eti
Kweli kabisa wanaoshiba wanalala vizuriHuko ndo wamelala
Ntalalaje mkuu Rwanda haina bahari, maendeleo yake yanategemea kichwa changu?Hahahahaha mkuu upo?, mimi ndiyo nataka kulala
Biblia inakiri kuwa usingizi wa kibarua ni mtamu, japo simaanishi humu ni vibarua lknKweli kabisa wanaoshiba wanalala vizuri
Kwi kwi kwi kwi kwi jengeni bwawa kwi kwi kwi kwi kwiNtalalaje mkuu Rwanda haina bahari, maendeleo yake yanategemea kichwa changu?
Hata kama humanishi hili ni jukwaa la MakapukuBiblia inakiri kuwa usingizi wa kibarua ni mtamu, japo simaanishi humu ni vibarua lkn
Meli zitaingiaje bwawani?Kwi kwi kwi kwi kwi jengeni bwawa kwi kwi kwi kwi kwi
Meli zitaingiaje bwawani?Kwi kwi kwi kwi kwi jengeni bwawa kwi kwi kwi kwi kwi
Dhana ya ukapuku ni kiwango cha miaka michache au muda mfupi kujiunga na sio uhaba wa pesa au ujinga na umaskiniHata kama humanishi hili ni jukwaa la Makapuku
Jenga mabwawa makubwa kama yale ya misri, muombe rafiki yako asiyejaribiwa atakupa bandariMeli zitaingiaje bwawani?
Nilimwomba kikwete alipe bandari niilishe tz akakataa bhana
Hahahahaha mkuu unawatetea makapuku hahahahahaDhana ya ukapuku ni kiwango cha miaka michache au muda mfupi kujiunga na sio uhaba wa pesa au ujinga na umaskini
Mdogomdogo ngoja anipe ajira ya MAPANGA SHAA kwanzaJenga mabwawa makubwa kama yale ya misri, muombe rafiki yako asiyejaribiwa atakupa bandari
Uwe na wakati mwema nina kazi ya kumalizia hapaHahahahaha mkuu unawatetea makapuku hahahahaha
Hahahahaha atakupa tu hahahahahaMdogomdogo ngoja anipe ajira ya MAPANGA SHAA kwanza
Powa asubuhi njemaUwe na wakati mwema nina kazi ya kumalizia hapa
Unatokea wp?Njian kurejea home.. Dua zenu tuu...