Hapana nsharudi mkuu, niko ndani ya bongo yetuMambo vipi kiongozi hivi bado upo kule ng'ambo??
Karudi na ameopoa na mchina kabisaMambo vipi kiongozi hivi bado upo kule ng'ambo??
Wacha weeNimemiss kiss lako
Asante kwa historia mkuu, tunakutakia sabato njemaLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Sabato, tukutane tena kesho hapahapa.
Leo nina ugeni kanisani, hivyonnitakuwa na kaubize kidogo.
Jumamosi njema.
Tanzania Ilani ya CCM ndio katiba ya nchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Makinda sura ya kazi
Niaje my cunado? JJ yupo bize kidogo atakuja tu usijali afu na umeme nao uazingua sana leoBrizeee My çunado umempeleka wapi JJ wangu....!!?[emoji134]
Ohoooo [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji85][emoji85]Nimemiss kiss lako
Fanya hivi[emoji10]Wacha wee
Busu takatifu, isitoshe huyu ni my sissy nasi kwetu makis ndo chakula chakula cha rohoOhoooo [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji85][emoji85]
Cc makaveli10
Dah kumbe usharudi huku kajambanani, karibu mkuu na sisi tunajitahiji kuwafikia wale jamaa tumeshanunua ndege yetu tayari [emoji4][emoji4]Hapana nsharudi mkuu, niko ndani ya bongo yetu
Ndege ya mwendo kasi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Dah kumbe usharudi huku kajambanani, karibu mkuu na sisi tunajitahiji kuwafikia wale jamaa tumeshanunua ndege yetu tayari [emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] busu la agape sio?Busu takatifu, isitoshe huyu ni my sissy nasi kwetu makis ndo chakula chakula cha roho
Kwani haupo karibu na nishati ya umeme shem lake?Ngoja nisevu ya old is gold niingie mitamboni naona chaji imebaki 37% tu.
Nipo Tabora kwa Makaveli10....[emoji85][emoji85][emoji85]Kwani haupo karibu na nishati ya umeme shem lake?
Hiyo hiyo mkuu, tutafika tu japo kwa kutambaaNdege ya mwendo kasi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kabsaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] busu la agape sio?
Nchi hii ukiwaza waweza pata presure kubwa, Nyerere aliacha ndege kubwa na nyingiHiyo hiyo mkuu, tutafika tu japo kwa kutambaa