Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1948 - Kampuni ya Honda yaanzishwa rasmi huko Japan.
IMG_20160924_103521.jpeg
IMG_20160924_103531.jpeg

Noma
......
 
1980 - John Arne Riise anazaliwa.

Beki wa zamani wa Liverpool, Fulham, Roma na timu ya taifa ya Norway.

Alijulikana zaidi wakati yupo Liverpool pia alisifika kwa mikwaju motomoto kutoka mguu wake wa kushoto.

Alikuwepo kikosini wakati Liverpool inashinda ubingwa wa ulaya mwaka 2005.
 
Kumbukumbu yao kubwa ni ubingwa wa club bingwa ulaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom