shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mwambie aiseePoa tu. Tunaangalia perfomance UEFA kitu gani
Mwambie aiseePoa tu. Tunaangalia perfomance UEFA kitu gani
Perfomance ndio inamata bhanaHaaaahaaaa, haya buana
Ndoo= Trophy/kombe/ubingwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimecheka sana ndooo??
Siibadili mwaka mzimaNa hiyo avatar sasa
Lodi lofa au NdumilakuwiliNa hiyo avatar sasa
Nilikuelewa..nilifurahia tu kuiita trophy ndoooNdoo= Trophy/kumbe/ubingwa
..........

Mar'habaaaa hujambo eeh?Shikamooni family
Lodi lofaLodi lofa au Ndumilakuwili
Nina jamboMar'habaaaa hujambo eeh?
Tuko poa mkuu, siku njema na kwako piaSalaam waungwana, mpo salama?
J'mosi iwe njema kwenu.
Tinga ndaniHodii humu ndani.. Habari ya wikend?
Litoe tupo kulisikilizaNina jambo
Atakuepo full time kuanzia kesho ama kesho kutwa ametingwa kidogoJimenaaaaaa!!!! Magazetiiiiiiiiiiii
Karibu sana mi çunadoHodii humu ndani.. Habari ya wikend?
Mapanga boi yamekuwa habari ya mjiniIla mapanga yanasifiwa sana aisee

Mambo vipi kiongozi hivi bado upo kule ng'ambo??Poa kabisa
Nimemiss kiss lakoLitoe tupo kulisikiliza
Asante kwa taarifaAtakuepo full time kuanzia kesho ama kesho kutwa ametingwa kidogo