Makapuku Forum

Makapuku Forum

1949 - Baleka Mbete anazaliwa.

Ni spika wa Bunge la Afrika ya Kusini.
IMG_20160924_105035.jpeg
IMG_20160924_105045.jpeg

Mrembo....tulikuwa naye Makinda sura ngumu
......
 
1980 - John Arne Riise anazaliwa.

Beki wa zamani wa Liverpool, Fulham, Roma na timu ya taifa ya Norway.

Alijulikana zaidi wakati yupo Liverpool pia alisifika kwa mikwaju motomoto kutoka mguu wake wa kushoto.

Alikuwepo kikosini wakati Liverpool inashinda ubingwa wa ulaya mwaka 2005.
IMG_20160924_105825.jpeg
IMG_20160924_105805.jpeg
IMG_20160924_105815.jpeg

Mnorway/Norwegian
........
 
Mkuu yule Vale & Tinner habusiki na hii thread
Yeye ni Vingongo Forum
Kuweni na msimamo msishobokee vingongo vinavyojiona mastaa
Thread yao na yetu ni km Simba na Yanga hatukai jukwaa moja isipokuwa tunakutana sehemu zingine tu
Mpotezeeni
.....................
Namjua vizuri sana prezdaa
Nakutana nae sana kwenye majadiliano yetu hapa jf najua hausiki na makapuku forum
Nimempa hai tu valentina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom