Makapuku Forum

Uyasemayo ni kweli kabisa.
KAPUKU wote sasa tumekuwa masuperstar..
Kila member hapa anatufahamu ipasavyo, hvyo wanatuonea wivu
Sisi tupo juu
Hatuhitaji kingongo chochote ili thread iendelee kutamba
Kila siku wapya wanaibuka na kuja na swaga mpya mfano nani alikuwa anamjua sajo? Hakuna
Lakini KF imemtoa si unajua inasomwa na watu wengi(wamesubsribe)....lazima wanajua mikwara ya huyo mjeda MP

................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…