Maana hapa ndio sehemu pekee ambayo tunapendana na kuchekeana & kutaniana 24/7
Tukiiharibu tutaanza kununa kila tukiona ID za wakongwe na dharau zao hapa ndani (KF)
Bora tuwafungie vioo mapema .................
Nadiriki kusema kuwa Kf imenifanya niweze kujiamini.
Maana mwanzo kabla ya kf kuzinduliwa nilikuwa napigwa Ban daily kwa 7bu ya kushindwa kustahimili matusi ya wakongwe.
Ila now nmejiepusha nao
Maana hapa ndio sehemu pekee ambayo tunapendana na kuchekeana & kutaniana 24/7
Tukiiharibu tutaanza kununa kila tukiona ID za wakongwe na dharau zao hapa bdani
Bora tuwafungie vioo mapema .................