Makapuku Forum

Huyu hasikiki kabisa, japo ameshapewa taarifa
Tatizo kuna pipo hazijiamini
Wanafikiri wasiposhobokashoboka kwa hivyo vingongo hawawezi kujulikana
Mbona sisi kwa sisi tupo wengi humu na tuna swaga za kufa mtu ina maana kakosa mtu wa kupoga nae swaga ?
Mtu unachagua kuwa kapuku au kingongo (KF au VF)
Siyo hauna msimamo tena vingongo wanatudhihaki tu kijanja....wasipoangalia hadi akina Ngedere watakuja kutambia hapahapa

...........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…