Makapuku Forum

sawa njoo hata kule sio mbaya utanikuta humo ila nitakuepo hapa jamvini
Ila nina wasiwasi na beki yangu tu
 
Nimejisikia kuibadili coz ilitimiza mwaka nzima now nakuja kivingine
Tatizo la ile avatar ni ile kata k na mnenguo watu wanapata cha kuongea kwa hapa KF haikuwa na tatizo coz tunataniana tatizo kwenye thread zingine
...............
Haha haya bana haina mbaya japo mi nlikua namkubali sana yule tembo alikua anawakilisha swaga za kibitoz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…