Hahahah mkuu lengo langu si kukuletea vita na shemeji hapana..Ila naamin utaona jinsi nilivyopamabana kummiliki haikuwa rahis na naomba uwe upande wangu kwenye kesi hii..Ha haaa Mimi Nina ndoa halali kabisaa....
Ila wadau hawakubali...kwanini uwapitee?
Wakaleta kesi
Sawa mkuubadae wakuu jimena akionekana mniite
Hahahaha hatariiiHahaha,prezda mizuka imempanda
Shida uleta maarifa....ila kuna wenye maekari wameyalalia tuata chupa za uhai, soda take away etc
Kabisa mkuu uhaba huu wa ardhi unafanya watu wazid kuwa wabunifu mno...So watu wa shambani wake mkao wa kuja kununua mazao mjini kupeleka kijijin..ata chupa za uhai, soda take away etc
Kweli leo umeamua😀😀😀😀
Niliachwa mbali sana mkuu,hata hivyo nimewafukuzia sana kufika hapa mlipo,page ya 552??long live TEAM MAKAPUKU.Tupo mkuu,umepotea sana
Kabisa mkuu uhaba huu wa ardhi unafanya watu wazid kuwa wabunifu mno...So watu wa shambani wake mkao wa kuja kununua mazao mjini kupeleka kijijin..
Ni kweli kabisa mkuu..Unajua ukame na uhaba wa maji Israel ndiyo uliyowafanya kuwa taifa la kwanza kutumia irrigation system ya dripline na sasa hawaoteshi kwenye soil wanaotesha kwenye media fulani ya cocos ama pumice..Shida uleta maarifa....ila kuna wenye maekari wameyalalia tu
Wenzako hawaondoki wameganda humu kuwawekea ulinzi ma-honey wao we unakimbiakimbia.... Ngoja watu tukupige maktaim ndo ujuebadae wakuu jimena akionekana mniite
Umenifurahisha mpaka chozi, uko poa babe!Baby mbona chozi tena
Mno si kidogo..Shemeji..Kweli shemeji humu naona mende wamejaa sana.
Pole sana mkuu.inabidi uongeze speed usiachwe sana.Niliachwa mbali sana mkuu,hata hivyo nimewafukuzia sana kufika hapa mlipo,page ya 552??long live TEAM MAKAPUKU.
Ha haaa... Mkuu kikatiba natakiwa nisiwe upande wowote..Hahahah mkuu lengo langu si kukuletea vita na shemeji hapana..Ila naamin utaona jinsi nilivyopamabana kummiliki haikuwa rahis na naomba uwe upande wangu kwenye kesi hii..
Niko poa sweetie wangu vipi wewe. Napenda kukuona unafurahi mpenziUmenifurahisha mpaka chozi, uko poa babe!
Shemeji unajua kilimo sasa kinafanywa kisasa mno yaan haitaki ukubwa wa ardhi ila ni capital na knowledge kubwa tu..eti watanunua mjini kupeleka kijijini.
Wew jana ulilala mapema watu wakaanza kufukuzia chombo chako, ulinipa usumbufu wa kufukuza kunguru, hebu lete sadaka hapaBaby mbona chozi tena
Asante sana.Wew jana ulilala mapema watu wakaanza kufukuzia chombo chako, ulinipa usumbufu wa kufukuza kunguru, hebu lete sadaka hapa