Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Sep 23, 2016 #109,941 Jimena said: Kila la heri kwa atakaetupia 110k naiona inanukia kabisa. Bahati mbaya sitaweza kuwepo kwenye kuigombea Click to expand... Nitakuwakilisha
Jimena said: Kila la heri kwa atakaetupia 110k naiona inanukia kabisa. Bahati mbaya sitaweza kuwepo kwenye kuigombea Click to expand... Nitakuwakilisha
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Sep 23, 2016 #109,942 makaveli10 said: Hurrey... Click to expand... Hongera
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,011 Reaction score 104,571 Sep 23, 2016 #109,943 shululu said: Haaaahaaaa, hongera sana kwa 110k Click to expand... Nashuruku saana mkuu
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,011 Reaction score 104,571 Sep 23, 2016 #109,944 Mussolin5 said: Hongera Click to expand... Ahsante kaka
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Sep 23, 2016 #109,945 Leo katika Historia: 1973 - Rais Juan Peron Wa Argentina anarudi madarakani kwa mara ya tatu akiwa kama Rais wa Nchi hiyo baada ya kupinduliwa katika mapinduzi ya Kijeshi.
Leo katika Historia: 1973 - Rais Juan Peron Wa Argentina anarudi madarakani kwa mara ya tatu akiwa kama Rais wa Nchi hiyo baada ya kupinduliwa katika mapinduzi ya Kijeshi.
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 23, 2016 #109,946 shululu said: Mukongo morning Click to expand... Kumbe huyu ni mkongo?, mimi nilidhani ni mtz mwenzetu, ndiyo maana ametuzidi akili
shululu said: Mukongo morning Click to expand... Kumbe huyu ni mkongo?, mimi nilidhani ni mtz mwenzetu, ndiyo maana ametuzidi akili
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Sep 23, 2016 #109,947 1980 - Mwanamuziki Bob Marley anafanya tamasha la Rege huko Pittsburgh, ambalo baadae linakuja kujulikana kama tamasha la mwisho kabisa kuwahi kufanywa na Bob kabla ya Mauti kumkuta May 11 mwaka 1981.
1980 - Mwanamuziki Bob Marley anafanya tamasha la Rege huko Pittsburgh, ambalo baadae linakuja kujulikana kama tamasha la mwisho kabisa kuwahi kufanywa na Bob kabla ya Mauti kumkuta May 11 mwaka 1981.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Sep 23, 2016 #109,948 2002 - Mozilla ya kwanza kabisa yatambulishwa rasmi.
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Sep 23, 2016 #109,949 MKWEPA KODI said: Nilikuwa jukwaa la siasa, Asante kwa kuniita Click to expand... Kwanini hutaki kuoga???
MKWEPA KODI said: Nilikuwa jukwaa la siasa, Asante kwa kuniita Click to expand... Kwanini hutaki kuoga???
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 23, 2016 #109,950 werrason said: Kwanini hutaki kuoga??? Click to expand... Maji ya baridi hahaha
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 23, 2016 #109,951 Ngoja nikapate supu maana jana nilizitweka sana
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 23, 2016 #109,952 Moningi Bitoz
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Sep 23, 2016 #109,953 1956 - Paolo Rossi anazaliwa. Ni straika wa zamani wa Juventus na Timu ya Taifa ya Italy. Alikiwa ni mfungaji bora Italy ilipotwaa Kombe la Dunia mwaka 1982 katika michuano iliyofanyika pale Hispania.
1956 - Paolo Rossi anazaliwa. Ni straika wa zamani wa Juventus na Timu ya Taifa ya Italy. Alikiwa ni mfungaji bora Italy ilipotwaa Kombe la Dunia mwaka 1982 katika michuano iliyofanyika pale Hispania.
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 23, 2016 #109,954 Mama yangu Jimena Jimenes ubarikiwe tumekwishapata mkate wetu wa asubuhi shwaaaari kabisa
NIYOMBARE JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,718 Reaction score 4,229 Sep 23, 2016 #109,955 Jimena said: View attachment 405321View attachment 405322View attachment 405323 Mpaka hapo basi sina la ziada. Kumbuka tu magazeti haya yaliwajia kwa udhamini wa Makapuku forum Miss u all T G I F Ciao Click to expand... Asante
Jimena said: View attachment 405321View attachment 405322View attachment 405323 Mpaka hapo basi sina la ziada. Kumbuka tu magazeti haya yaliwajia kwa udhamini wa Makapuku forum Miss u all T G I F Ciao Click to expand... Asante
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Sep 23, 2016 #109,956 Ni siku ya walimu huko nchini Brunei.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Sep 23, 2016 #109,957 Leo katika Historia: Kwa udhamini mnono wa Bob Marley, muwe na weekend njema. Ijumaa Kareem. Bye!!
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Sep 23, 2016 #109,958 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1973 - Rais Juan Peron Wa Argentina anarudi madarakani kwa mara ya tatu akiwa kama Rais wa Nchi hiyo baada ya kupinduliwa katika mapinduzi ya Kijeshi. Click to expand... Dikteta ...
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1973 - Rais Juan Peron Wa Argentina anarudi madarakani kwa mara ya tatu akiwa kama Rais wa Nchi hiyo baada ya kupinduliwa katika mapinduzi ya Kijeshi. Click to expand... Dikteta ...
N nsekwa JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 939 Reaction score 1,404 Sep 23, 2016 #109,959 MKWEPA KODI said: Mama yangu Jimena Jimenes ubarikiwe tumekwishapata mkate wetu wa asubuhi shwaaaari kabisa Click to expand... Hivi Mkwepa kodi ina maana hulipi kodi kabisa?
MKWEPA KODI said: Mama yangu Jimena Jimenes ubarikiwe tumekwishapata mkate wetu wa asubuhi shwaaaari kabisa Click to expand... Hivi Mkwepa kodi ina maana hulipi kodi kabisa?
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Sep 23, 2016 #109,960 makaveli10 said: Hurrey... Click to expand... Hongera sana.. Ila post nnayoivizia kwa hamu ni hii ya [HASHTAG]#111111[/HASHTAG] Hii nitaipambania kufa na kupona aisee
makaveli10 said: Hurrey... Click to expand... Hongera sana.. Ila post nnayoivizia kwa hamu ni hii ya [HASHTAG]#111111[/HASHTAG] Hii nitaipambania kufa na kupona aisee