Nitazingatia hili sana kwani hata mimi mwenyewe napata wasi macho ya watu yamekuwa juu juu kwake mno hadi napata wasi ila maadam yeye ni mimi na mimi ni yeye wataisoma namba tu..
Unajua kwenye list ya vidume waliokuwa wanaongoza kumsumbua mpenzi wangu amaizing jina lako lilikuwa la kwanza kabisa...So najua maumivu unayoyasikia ila nipo tayar tuchanganye nguvu kwa yeyote mwingine utakaye muona ila niachie kabisa my wife..