1980 - Iraq inaivamia nchi ya Iran kivita.
1970 - Emmanuel Petit anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal, Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa.
Ni mshindi wa kombe la Dunia la mwaka 1998 na Euro 2000.
Asante mkuu mussolinLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa siku 100 zilizobaki, niwatakie siku njema.
1978 - Harry Kewell anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Leeds United na Liverpool na timu ya taifa ya Australia.
Mmoja kati ya mawinga bora wa kushoto aliyekuwa na uwezo mkubwa sana, alishinda Ubingwa wa Ulaya akiwa na Liverpool mwaka 2005.
1982 - Maarten Stekelenburg anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani wa Fulham, Southampton na timu ya taifa ya Uholanzi.
Alikuwepo kikosini katika kombe la dunia la mwaka 2010 pale Uholanzi ilipofungwa 1-0 na Spain katika Fainali.
Kwasasa anaidakia Everton Fc.
1984 - Thiago Silva anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa Ac Milan ambaye kwasasa anakipiga PSG ya Ufaransa.
Pia huchezea Brazil kwa timu ya Taifa.
Anachukuliwa na wengi kama beki mahiri zaidi wa kizazi hiki hasa baada ya kustaafu kwa akina Puyol na wengineo.
Baadaye kidogoLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa siku 100 zilizobaki, niwatakie siku njema.
Siku hazigandiLeo katika Historia:
Ni siku ya 265 na zimebaki siku 100 mwaka huu uishe.
Haya tuangalie matukio yakiyojitokeza siku kama ya leo miaka iliyopita.
Ushoga U.S. longi Kumbeeeh???1975 - Sara Jane Moore anajaribu kumuua Rais wa Marekani, Gerald Ford kwa kutaka kumpiga risasi.
Raia mmoka aliyejulikana kama Oliver Sipple ambaye alikuwa amekaa karibu na Sara Jane anafanikiwa kumtingisha Muuaji huyo na kumuokoa Rais.
Licha ya ushujaa wake wa kumuokoa Rais, Oliver alikuwa shoga lakini haikumzuia kuingia katika vitabu vya kumbukumbu kama shujaa.
Sana, aliwahi kusema, kama una mpira halafu hujui upeleke wapi? basi we mtafute Zidane atajua pa kuupeleka.Kiungo bora kabisa, mtulivu sana
Asanye kwa picha murua kabisaaaView attachment 404739
Sara JaneView attachment 404740
Shoga SippleView attachment 404741
Tukio
.......
mwaka 1999 kwenye msiba wa baba wa taifaSisi live (mubashara) tumeanza miaka ya hapa karibuni tu
Beki tulivu1984 - Thiago Silva anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa Ac Milan ambaye kwasasa anakipiga PSG ya Ufaransa.
Pia huchezea Brazil kwa timu ya Taifa.
Anachukuliwa na wengi kama beki mahiri zaidi wa kizazi hiki hasa baada ya kustaafu kwa akina Puyol na wengineo.
Dogo kanikosha sana.. Halaf fundi.. Pongez kwa el cholo
Naona fa wanawataftia nongwa man you