Asante sana mussolinLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bajaj mpya ya Air Tanzania, tukutane kesho.
Bye
Hapo sijataja kitu chochote cha uchochezi mkuuhuogopi kuambiwa unaleta Uchochezi???....thanks for leo katika Historia
Namkumbuka vyema.Pia mzee mafujo
Kunielewa inabidi utulie sana!Bajaji wakati umeianzishia uzi kule!
2013 - Al Shabab wanavamia na kushambulia Maduka ya Westgate huko Nairobi nchini Kenya.
Huwa wanaangalia, mbona itv siku hizi hawatoi wosia wa Baba wa Taifa?Mkuu kwani huwa wanaangalia hili jukwaa, nadhani mara nyingi wana kuwa kule kwenye majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko
Kumbe!!!Mkuu kwani huwa wanaangalia hili jukwaa, nadhani mara nyingi wana kuwa kule kwenye majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko
Tena kaweka mlinganisho wa ya zamani na mpyaBajaji wakati umeianzishia uzi kule!
Nilikuelewa sanaKunielewa inabidi utulie sana!
UTAMU WA NYUMBA ZA KUPANGA!
Jana neighbor yangu alikuja akaniambia nipunguze sauti ya radio anataka kulala. Leo anapika chapati na mimi nmemwambia apunguze harufu ya chapati nataka kula ugali. sipendi ujinga ujue.
1909 - Kwame Nkrumah anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa Kwanza wa Ghana.
Unaanza uchocheziLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bajaj mpya ya Air Tanzania, tukutane kesho.
Bye
1979 - Richard Dunne anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa Man city na timu ya taifa ya Ireland.
Anasifika kwa kuwa beki aliyejifunga magoli mengi zaidi kwenye EPL.
........cha mpingou
Kuna mjeda humuMkuu kwani huwa wanaangalia hili jukwaa, nadhani mara nyingi wana kuwa kule kwenye majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko
1989 - Jason Derulo anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.