Mkuu unajua kugive up jambo flani hapa jf haina maana kwamba umeshidwa ama umeshinda,...lakini utakuwa umeonesha dalili za udhaifu....kukubali kunyamazishwa na tambwe za watu wachache ni jambo la hatari sana! hasa kama hiyo spirit ya kugwaya hao ma bullers itaendelea hadi kwenye maisha ya kawaida.
Maadam unafuata sheria zote za jf, nadhani upo huru kutoa mawazo yako bila kujali aina ya jukwaa ulilozoea....kuna watu watakuja kukukashifu kuona kama utatokwa povu, watu wa hivyo ni kuwapotezea tu kinyume na hapo ni ban....hamna member mwenye haki ya kuamua ni mada ya nani ina maana zaidi ya nyingine, tofauti na hapo ni cyber bulling.
Mtembea PekuMP inamaana nyingi sana
Ulikimbia kivuli chako[emoji12] [emoji12] kunasiku ilinitisha me mwenyewe[emoji23] [emoji23] nimeona bora niitoe
Kweli kabisa [emoji23] [emoji23]Ulikimbia kivuli chako
PoleeeKweli kabisa [emoji23] [emoji23]
Asantee[emoji120] [emoji111]Poleee
Mkuu nilifikiri umerusha picha harusi!!!
hahaha, poa. Za humu kf?Mkuu nilifikiri umerusha picha harusi!!!
Vp lkn
Muache tuu.. Mdomo wake ana haki ya kuropoka..Asante kwa nukuu japo huu udhamini wako ni wa kichochezi
Mende huyo... Anapenda kumendea vya wenzie.Sitaki kuamini kama Tozi nae ni Man4ngo.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usalama ulipatikana kweli!?Jana ilikuwa balaa nyumba ilikuwa tupu nilibaki na Shululu tu.
Haya bhana..Hapana....nimeona harakat za kapuku mwenzangu pongezi kwako[emoji122] [emoji122]
Bwana harusi vp
Thubutu yako.. Angalia usije ukageuka big g... Nikawa nakutafuna kila siku.Nilijisikia kukugeuza farasi ili nikupande
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Nimeropoka ni niMuache tuu.. Mdomo wake ana haki ya kuropoka..
Tulia we mchovya vidole kwenye hina...Ana undugu na kaveli muuza ndizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Kumbe ndio maana wamefananaAna undugu na kaveli muuza ndizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Nayo kazi, nyama weeTuheshimiane
Mi nina taaluma yangu usinipakazie ualimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.............
Umechagua fungu jemaNdio maana nimeamua kubadili avatar