NUKUU NO 3#
Huhitaji kuwa mkomunist ili kujua kwamba China inafanya mambo mengi ambayo Dunia inapaswa kujifunza
Hatuwezi kuacha kujifunza eti kwa sababu wao Wana mfumo tofauti wa kisiasa nasi
Maneno haya ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Yamenukuliwa kutoka katika kitabu cha "watu 100 muhimu Duniani" (The most important people in the world today)
Kwa mwaka 1970
Seks am sore ai min senksNyuma nyuma sikumbuki page ya ngapi
HaaaahaaaaAcha umbea utavalishwa sketi
.........
Kweli kabisa mkuu.Ikitokea New comer ameanzisha uzi utasikia....peleka fb,...chuo kimefunguliwa?....jf imevamiwa na Division 5....Vi.laza wa Gram wameibukia JF.Lakini kama ni mkongwe ameanzisha uzi hata kama ni pumba, wazee wenzake watajitutumua kwenye comments ili uzi uonekane una maana.Ndio ujue akili ya midume ya jf, yanaponda wanaume na kutukuza wauza k
Hiv kipindi kile, ulivyovalishwa na kupakwa shedo ulijiskiaje!!Acha umbea utavalishwa sketi
.........
ASANTE SANA MKUU....pamoja sana.Sasa huuulioutaja hapa juu ndo Matabaka yenyewe hayo+madharau
KARIBU MKUU
LolSeks am sore ai min senks
Asante kwa nukuu japo huu udhamini wako ni wa kichocheziSina la ziada kwa udhamini mnono kabisa wa sweetiepie kuwa mpweke Jana, nawatakieni jioni njema
Weka pichaAsante kwa nukuu japo huu udhamini wako ni wa kichochezi
Kweli kabisa mkuu.Ikitokea New comer ameanzisha uzi utasikia....peleka fb,...chuo kimefunguliwa?....jf imevamiwa na Division 5....Vi.laza wa Gram wameibukia JF.Lakini kama ni mkongwe ameanzisha uzi hata kama ni pumba, wazee wenzake watajitutumua kwenye comments ili uzi uonekane una maana.
Hayo ni tisa, kumi KE anzishe uzi.Yaani ata kama ni tusi, mizee mizima itajipendekeza na michango uchwara...utaona wakipost....hiyo avatar ni ya kwako?....njoo PM tumalizane....Upo maeneo gani?..n.k.
Lengo langu siyo kuleta matabaka kati ya ME na KE, ama kati ya wakongwe na wageni, la hasha!...Kama ikitokea mtu amepost kitu na anahitaji ushauri/maoni asaidiwe bila kujali kuwa ni KE ua ME, mkongwe ama mgeni....tushirikiane kwa pamoja ili jamii yenye uelewa ianzie hapa JF.
Jambo lingine dharau sii kitu kizuri, kama upo jf toka kuanzishwa kwake haimanishi kuwa wewe ni wa maana kuliko ambaye profile yake inasomeka...joined yesterday...Kila mtu kwa nafasi yake anaweza kutoa au kupokea mawazo ya kujenga kutoka kwa watu mbali mbali.
MWISHO: WADUMU MAKAPUKU....FIKRA ZA MAKAPUKU ZIISHI DAIMA....MILELE LIDUMU JINA LA MAKAPUKU.
Bwahaaaaaaa in Werrason's and Jonax's Laugher!!!Ndio ujue akili ya midume ya jf, yanaponda wanaume na kutukuza wauza k
Meanwhile harusi ya mtoto wa Ustaadh ambaye dashboard inasoma zero zero! Kwa maana hakuwahi kuonja!
[/hahahahaa
Weka picha
Hahahahahaa huyu jamaa vipi huyu?! kweli Ndezi!!!!
duh noma sanaNUKUU NO 1#
Kuna watu hapa duniani ambao wanaishi katika njaa kali kiasi kwamba Mungu hawezi kuwatokea katika njia nyingine isipokuwa kama chakula
Maneno haya yalitamkwa na Mohandas Karamchand Gandhi (Mahatma Gandhi)
Aliyeishi Kati ya mwaka 1869 hadi mwaka 1948.
Gandhi alikuwa kiongozi wa vuguvugu la kudai uhuru wa India kutoka kwa wakoloni wa Uingereza
Hahahah et Masai wa kihindi
Sitaki kuamini kama Tozi nae ni Man4ngo.....Umejuaje kama jimena mzembe!!?