UpoAlasili=alasiri
Nilifikiri umepotea porini ulivyoenda kuokota kuniNipo boss
Mihangaiko ya hapa na pale imebana ila nipo
Duhh!!!Nilimleta gheto akanipikia ubwabwa halafu akaweka ndimu
.......
Maneno kuntuNUKUU NO 1#
Kuna watu hapa duniani ambao wanaishi katika njaa kali kiasi kwamba Mungu hawezi kuwatokea katika njia nyingine isipokuwa kama chakula
Maneno haya yalitamkwa na Mohandas Karamchand Gandhi (Mahatma Gandhi)
Aliyeishi Kati ya mwaka 1869 hadi mwaka 1948.
Gandhi alikuwa kiongozi wa vuguvugu la kudai uhuru wa India kutoka kwa wakoloni wa Uingereza
NUKUU NO 1#

NUKUU NO 2#
Katika maisha nimejifunza vitu vingi.
Nimejifunza kwamba watu watasahau mambo uliyowahi kuyasema, watasahau ulichowafanyia lakini hawatasahau ulichowafanyia namna ulivyowafanya wajisikie
Maneno haya yalisemwa na mtunzi, mshairi, mcheza muziki na mwanaharakati wa Marekani, Maya Angelou
Aliyeishi Kati ya mwaka 1928 hadi 2014