Kagame ndio anafanya hivi?Mimi mawaziri wangu wakiletaga shida huwa nawavua mikanda nawapa kichapo cha hatari, wakitoka white house wanaenda kukandwa na wake zao.
Namshauri mwanangu kisiasa jpm aige hiii pia
By Kgme
Asante sanaJumapili njema
Pamoja sana ankaliAsante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJ
One love mwenyekitiahsante kwa magazeti, Le Katibuz
KaribuAsante kwa magazeti hermana
Huyu jamaa sio uchwa.r. ni dikt wa ukweli, ameinyoosha nchi yake hakuna bla blaa, ndo maana alimchenjia jkKagame ndio anafanya hivi?
Jpm akiwa hivyo sisi wabongo tutaanza maneno mengiHuyu jamaa sio uchwa.r. ni dikt wa ukweli, ameinyoosha nchi yake hakuna bla blaa, ndo maana alimchenjia jk
UmetishaMimi mawaziri wangu wakiletaga shida huwa nawavua mikanda nawapa kichapo cha hatari, wakitoka white house wanaenda kukandwa na wake zao.
Namshauri mwanangu kisiasa jpm aige hiii pia
By Kgme
Kweli kabisa, hatuwezi kuendelea na bla bla wakati tu maskini, hata usa inajua jeuri yanguUmetisha
Tatizo jamaa haonyeshi ni nin kalenga but kagame yuko wazi ni wapi anaipeleka nchi, matunda yanaonekana na anaungwa mkono na watu wake, kumbuka alishirikiana diaspora kuboresha makazi duni ya warwanda, kuimarisha uchumi mipango yake iko wazi.Jpm akiwa hivyo sisi wabongo tutaanza maneno mengi
Unajua hii nchi kuna watu wanafanya kama yao pekee yao. Toka JPM aingie kidogo ila sio sana. Muda mwingine maamuzi magumu Ni lazima ila watu wajue kuwa tunataka maendeleo kwa vitendo wala sio maneno tupu.Tatizo jamaa haonyeshi ni nin kalenga but kagame yuko wazi ni wapi anaipeleka nchi, matunda yanaonekana na anaungwa mkono na watu wake, kumbuka alishirikiana diaspora kuboresha makazi duni ya warwanda, kuimarisha uchumi mipango yake iko wazi.
Endapo jamaa akaweka wazi dira yake ya maendeleo na kuanza kuonyesha dalili za kuisimamia
Tutamuunga mkono mkuu wangu.
Shida dira haieleweki, ni sawa majipu yametumbuliwa lkn swali, what next!
Leo katika Historia:
1502 - Christopher Columbas anawasili Honduras katika safari yake ya nne na ya mwisho kabisa.
Jibu murua kabisa...
Kwa kifupi ni ile malighafi inayotengenezea chocolate(vanilla)