Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Friday Night RobberFriday night football...
Leo nipo The Reds kwa mkopo!!
.............
Friday Night RobberFriday night football...
Leo nipo The Reds kwa mkopo!!
Duuu basi hapo itakuwa shidaHaina maana
Sio kila mfungwa anafanya kazi za kijamii ...Murderer hulindwa sana
........
Na ukubali kupigwaKwa wale mashabiki wa Chelsea pamoja na wa Liverpool, mtabidi mnivumilie...
Maana ntazingua sana leo hapa, sishabikii timu yoyote hapa il ntakuwa nawaletea updates za mechi zenye maudhi
ASANTEENI
Msukuma huyoo![]()
![]()
![]()
![]()
.............
Pole sana, ndio ukubwa wenyewe huoBusy mno, ila kuanzia week end ijayo ntakuwa nimemaliza haya majukumu
Wa chattle huyu![]()
![]()
![]()
![]()
.............
Ya hatari tena, itafaa kweliItabidi aniandikie mistari ili nitoe ngoma moja hatar
Utabiri fekiMuda siyo mrefu chelshit atalia
NCAA ndiyo nitakuwa hapoKaribu, milango iko wazi japo nov ntakuwa mwanza kikazi one month, nafikiri ntakukuta ikiwa utakaa 8months.
Utarudi kulee nelson...au?
Ipi hiyo, uhasibu njiro nini!!!NCAA ndiyo nitakuwa hapo
Amejitambua
Ngoja akija nimuelezeYa hatari tena, itafaa kweli
Time will tellreally?