Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hahaha special caseUsijal mkuu wewe ni special case
Hahaha special caseUsijal mkuu wewe ni special case
Wewe huwezi sahaulika atakuwa kapitiwaHahaha special case
Mkeo hajambo? DamuchangaNahrene
Bitoz
Jonax
EMMYGUY
Jimena
Ibra87
Cute b
amaizing
sumbai
Peterchoka
Th Name
Teacher on duty
sizza
Na makapuku wengine wote mmeamka salama?
Poa,uwe na asubuhi njema.Poa, nilikuja kuwasalimia tu tutaonana baadae
Mzee habari za uzima?NITAKE tu... mrembo mifupa bado laini hiyo.
Mie ninae huyo huyo mmoja basi.Aaaah kwani unabadili kila siku
Hata sijui mkuu,ametoka tangu jana hajarudi!Mkeo hajambo? Damuchanga

Nzuri mwalimu Wa zamu Wa uchindile secondary schoolHabari ya asbh makapuku wenzangu
Kusema kweli nimepitiwa aiseeWewe huwezi sahaulika atakuwa kapitiwa
peterchoka anataka apashe kiporo na mkeo. Wewe unawaza wake za watu kijanaMkeo hajambo? Damuchanga
We Huyo aggyjay mbona bado hajapitishwa na kamati
Umekosea mkuu....ni wa shule ya awali NanjilinjiNzuri mwalimu Wa zamu Wa uchindile secondary school
Kupitiwa kawaida mkuu.....one luvKusema kweli nimepitiwa aisee