Makapuku Forum

Mambo aje makapuku wenzangu ndani ya nyumba??? Hope every thing is banging pamoja na ukweli kwamba hali ni mbayaaaa hela imebanana!!!!
Balimi ndogo haziendi kabisaaa. Ngoja tuendelee kutoa muda! Viongozi wanasema "tumpe muda"
 
Nani amewaloga wanasiasa wa tz?
Wanataka matajiri waishi km mashetani..yakija majanga wanawapigia hao hao matajiri magoti wapewe pesa.
Wanataka mshikamano lakini hawataki suluhu na wapinzani
Wanakataa misada ya wapinzani,
Wanawaziba midomo wanaowakosoa.
Duuuh nimetokea kuwapuuza hawa watu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…