makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,450
- 108,531
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijamuona ujue naomba nitagie nimuone huyo dada aliyekuwa nyama ya mabazazi.
Duuuuh anava nguo za aina gani huyu!! sipati picha watakuwa wamemla sana 0713 hadi kajifia.View attachment 400084
Cheki toto huko nyuma, kumezibwa zibwa na minyasi lakini wapi.. Angekuwa dunia ya sasa halaf mpenda sifa, aibu hana kama hawa wakina gigy money.. Angepiga pesa hatari.. Video nyingi angekuwemo..[emoji23] [emoji23]
Demokrasia siyo lazima iwe kama hii ya Wamarekani ambayo dunia nzima tunalazimishwa kuifuata. Demokrasia nzuri ni ile inayoshabihiana na mazingira na kuheshimu historia na utamaduni wa watu. Putin na huyu dogo wanabadilishana na nchi inasonga mbele. Demokrasia wakati mwingine ni kurudi nyuma hasa kama hakuna dira ya muda mrefu kama taifa. Kila kiongozi mpya anayekuja anakuja na yake na mnaanza upya tena. Msipokuwa makini mnajikuta mmepiga maktaimu ya kufa mtu na hata kurudi nyuma (mf. Tazama mfumo wetu wa elimu unavyobadilika badilika. Kinyonga cha mtoto!)
Pole yakeeDuuuuh anava nguo za aina gani huyu!! sipati picha watakuwa wamemla sana 0713 hadi kajifia.
Wameitengeneza![emoji23][emoji23]Hivi hii ni kweli???
Kweli.....maana hata mimi naonaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wameitengeneza![emoji23][emoji23]
Umeongea pointDemokrasia siyo lazima iwe kama hii ya Wamarekani ambayo dunia nzima tunalazimishwa kuifuata. Demokrasia nzuri ni ile inayoshabihiana na mazingira na kuheshimu historia na utamaduni wa watu. Putin na huyu dogo wanabadilishana na nchi inasonga mbele. Demokrasia wakati mwingine ni kurudi nyuma hasa kama hakuna dira ya muda mrefu kama taifa. Kila kiongozi mpya anayekuja anakuja na yake na mnaanza upya tena. Msipokuwa makini mnajikuta mmepiga maktaimu ya kufa mtu na hata kurudi nyuma (mf. Tazama mfumo wetu wa elimu unavyobadilika badilika. Kinyonga cha mtoto!)
Labda...Leo mnyama anatakiwa apige goli tatu ili twende sawa sijui na sisi tutakanata kibonde k
Duuuuh anava nguo za aina gani huyu!! sipati picha watakuwa wamemla sana 0713 hadi kajifia.
Kwa waandishi wa bongo siwezi kushangaaHivi hii ni kweli???
Kwann mkuu......au ndio makanjanjaKwa waandishi wa bongo siwezi kushangaa
Bongoland everything is possibleKwa waandishi wa bongo siwezi kushangaa
Kwann mkuu......au ndio makanjanja
Duuu[emoji15] [emoji15] kweli kwa bongoland ni kitu cha kawaidaBongoland everything is possible
*Makontena na ukubwa wake eti yanapotea
*Twiga mbona kaweza kupanda ndege
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
Tunawekeza kwenye viwanda vya kufyatulia watotoDuuu[emoji15] [emoji15] kweli kwa bongoland ni kitu cha kawaida
[emoji1] [emoji1] Ila naona kama unaanza uchozi......au umesahau kama mimi ni [emoji61] [emoji61]Tunawekeza kwenye viwanda vya kufyatulia watoto
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
...........
Askari wa wanyamapori[emoji1] [emoji1] Ila naona kama unaanza uchozi......au umesahau kama mimi ni [emoji61] [emoji61]
[emoji34] [emoji34] sasa naona umeanza kuvuka mipaka.....au hujui kama me ndio mlinzi wa kuzuia vingongo[emoji1] [emoji1] [emoji1]Askari wa wanyamapori
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
..........
Kwani Vingongo vina nguvu gani hadi viwekewe ulinzi[emoji34] [emoji34] sasa naona umeanza kuvuka mipaka.....au hujui kama me ndio mlinzi wa kuzuia vingongo[emoji1] [emoji1] [emoji1]