Makapuku Forum

1989 - Thomas Muller anazaliwa.

Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.

Ni mmoja kati ya wachezaji wanaojua kukaa kwenye nafasi na kumalizia mipira kwenye nyavu.

Sifa kuu ya Muller unaweza usimuone anachofanya uwanjani kwani si mtu wa mambo mengi, ika utamuona pale anapofunga goli au kutoa pasi ya goli.

Ni aina ya wachezaji ambao ni complete kwani ana uwezo wa kukaba na kushambulia, mimi huwa namfananisha na JS Park.
 
Kitambo sana Canavaro
 
Eeh hao ni Waluhya sasa aiih.. Unapatia manzi amenyoooka hana hata Budaa na hukula hyo Sembe hata kilo 3 na bado hujihisi wao ni Binadamu wa kawaida..

Eeeh hii miujiza hawa Manzi hufanya Jesus mwenyew could be Surprised
[emoji42] hapaChengaTuu
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
 

Yanga yupo feki
.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…