Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Mimi nna kipaji cha ugunduziUmejuaje??
Unaadimika sana siku hiziNipo jirani yangu
Naweza mbona tena masafa marefu sanaUnaweza kuendesha wewe???
Ukiona hivyo umewakimbiza sanaNaona wenyeji wamerudi...nadhani mlioanza nao KF
Hapana......kuna namna hapoooMimi nna kipaji cha ugunduzi
Bac itaidi tukupe kwenye mashindano ya OlympicNaweza mbona tena masafa marefu sana
Hamna bhaana nikupe sababu ya kuhisi wewe ni mnyaki?Hapana......kuna namna hapooo
Wewe ni Mkenya. Period sio kwa lafudhi hiyoMy routine leo since Morning hapa Bongo wazee.. Nikiw kwa Bus naend Job hapo Tao, Nikaskia Mtoi akiambia mama yake eti "Mama tunaenda wapi na hatujaa Oga.?" Aiih si kicheko hyo.. Nikashuka baada ya kufika si ndo Nikute jamaa ako na Ndoo imejaa Mahind za kuchemsha aiih nikajua anauza, Si ndo akaniambia hzo Mahind anapita akitafuna huku anatafuta JobEeh tz my hom..
Mbaya zaid nmepiga story Mob na Mdosi after hapo akaniambia "tutaongea" sas hii ndio imenimalza kwan tym yote hiyo tulikuw Tunalia.?
Ndio nipe sababu MkuuHamna bhaana nikupe sababu ya kuhisi wewe ni mnyaki?
Ntashukuru!!Bac itaidi tukupe kwenye mashindano ya Olympic
Am Tanzanian bt ile kukulia KE nayo imeathiri UlimiWewe ni Mkenya. Period sio kwa lafudhi hiyo
Well.....nimechukua "Sa" nikatoa hiyo "Ca" ya katikati maana sikuona kama inaleta jina au maana halisi nikastick na "Jo" ya mwisho ambayo nikapata "Sajo" na kwa kirefu ni Lusajo na hawa watu ni wanyaki.Ndio nipe sababu Mkuu
CC: Sacajo umeona nilivyo mgunduzi eeh?!Am Tanzanian bt ile kukulia KE nayo imeathiri Uliminajitahid mostly kuongea na kuandik normal bt duh.. Nmeishi for 25 years in KE
Usijari Kapuku...peace tuAm Tanzanian bt ile kukulia KE nayo imeathiri Uliminajitahid mostly kuongea na kuandik normal bt duh.. Nmeishi for 25 years in KE
Pabaya wapi wewe, wakati hapo ni paradizehiyo mambo isijenipeleka pabayaa
Eeh ugunduzi nayoCC: Sacajo umeona nilivyo mgunduzi eeh?!
Well.....nimechukua "Sa" nikatoa hiyo "Ca" ya katikati maana sikuona kama inaleta jina au maana halisi nikastick na "Jo" ya mwisho ambayo nikapata "Sajo" na kwa kirefu ni Lusajo na hawa watu ni wanyaki.