NUKUU NO 4#
Serikali hii kwa kusudi lolote haiwezi kuuza uhuru wa jamhuri
Siasa yetu niya kutotegemea upande wowote katika haya magombano ya ulimwengu ambayo hayatuhusu.
Ikiwa taifa lolote linatumia Msaada wanaotupa kama msingi kwa kutuingilia katika mambo yetu tutakataa Msaada huo.
Maneno haya yalipata kutamkwa na Mwalimu Julius Nyerere, Mei, 1964
Julius Nyerere alizaliwa April 13, 1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999
Uko sahihi kabisaBitoz nimekuunga mkono, mara nyingine watu wanatupia vitu vya mzaha kila post, mtu ukakosa la kuchangia unapita kimyakimya.
Hapa umenifunza kitu sio kwa jonax tu hata mimi nimejifunza kitu kuwa sio kila wakati unafaa kwa mzaha...thanx
Hakika kabisa
Basi tubadilike turudishe HADHI yetu ya KFUko sahihi kabisa
Itasababisha "vichwa vipya" visije kutuletea maujanja/segment kwa kupaona ni sehemu ya ovyoNadhani atajirekebisha sasa maana kumbe wengi hazitufurahishi
Mimi ndio nimejua leoKumbe we ndio msemaji wake??
Asante sana Ankali kwa nukuuSina la ziada tukutane tena kesho kwa udhamini mnono wa dikteta mussolin, nawatakieni jioni njema
Karibu sanaNimekuelewa Mkuu.....je naweza kukaribia humuu???
Maajabu na kweliMimi ndio nimejua leo
Karibu Ankali JJAsante sana Ankali kwa historia
NUKUU NO 2#
Kwa kadri maisha yanavyokuwa ndivyo yanavyokupa nguvu zaidi ya kukabiliana nayo ili hatimaye kufikia kelele cha mafanikio
Maisha ni suala la mapambano, anayeshinda pambano ndio bingwa
Maneno haya yalisemwa na waziri mkuu wa zamani wa Cambodia, Lon Nol.
Lon Nol alizaliwa Nov 13,1913 na kufariki Dunia Nov 17,1985
Nafikiri ikiwa member hatapitia hizi post na akaendeleza upupu ni vyema mwendee pm ili twende pamojaItasababisha "vichwa vipya" visije kutuletea maujanja/segment kwa kupaona ni sehemu ya ovyo
.........
NUKUU NO 3#
Nawasifu wanajeshi wote wa Tanzania kwa uhodari, ushupavu na moyo wao thabiti wa kulinda taifa letu
Nawaomba waendelee kuwa na moyo huo pamoja na kusaidia wakazi wa vijiji vya ujamaa vilivyoko jirani na kambi zao katika mipango yao ya kuzalisha mali
Maneno haya yalisemwa na Edward Sokoine, akiwa waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Agosti, 1972
Edward Sokoine alizaliwa Agosti 1,1938 na kufariki Dunia April 12,1984 amewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania
Sijui kwani watu wema na wanaolitakia taifa mema hawadumuView attachment 399034View attachment 399035View attachment 399036
Simba wa wamasai
Kiongozi shupavu
........
NUKUU NO 1#
Wananchi pamoja na serikali yao ya Muungano wanazikaribisha nchi jirani na nchi yoyote itakayokuwa tayari kujiunga na umoja huo ili kufikia hatua inayotakiwa.
Hatuwezi kwa mara moja kuunganisha Africa yote, ila kwanza ni juu yetu kuungana kidogo kidogo mpaka kufikia kitu kimoja.
Haya yalisemwa na Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani karume, July 30,1964 katika mkutano wa hadhara mjini Unguja, Abeid Amani karume alizaliwa Agosti 4,1905 na kuuawa April 7,1972
Maisha hayatendi haki ....wahuni kibao wanaishi miaka 80Sijui kwani watu wema na wanaolitakia taifa mema hawadumu
Kwa kweli, mara nyingine twaona kama Muumba hatendi haki lakini ndo hivyo hatuwezi kuhoji.Maisha hayatendi haki ....wahuni kibao wanaishi miaka 80
.........
PM niliachaga siku nyingi kuwafuata watu.....labda wao wanifuateNafikiri ikiwa member hatapitia hizi post na akaendeleza upupu ni vyema mwendee pm ili twende pamoja
Nafuatilia na nitaleta matokeo + pichaBitoz stadium of light now Sunderland na evaton