Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapana kaka
Karibu rock city
1473686874916.jpg
 
NUKUU NO 1#

Wananchi pamoja na serikali yao ya Muungano wanazikaribisha nchi jirani na nchi yoyote itakayokuwa tayari kujiunga na umoja huo ili kufikia hatua inayotakiwa.
Hatuwezi kwa mara moja kuunganisha Africa yote, ila kwanza ni juu yetu kuungana kidogo kidogo mpaka kufikia kitu kimoja.

Haya yalisemwa na Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani karume, July 30,1964 katika mkutano wa hadhara mjini Unguja, Abeid Amani karume alizaliwa Agosti 4,1905 na kuuawa April 7,1972
 
SOMA UJUMBE HUU KWA UFASAHA BILA INTLEWA VIZURI KABISA FURSA HII, KISHA LIZA M.

HISTORIA
CROWD RISINSING ni MFUMO Ulioanzishwa 2016 nchini CANADA .

Waanzilishi
*Gerhard Rempel-canadian
*Scott Johnson-Canadian

Lengo Kuu la huu mfumo ni kuisaidia dunia (jamii husika ya mahali husika iweze kujikwamua yenyewe kiuchumi kwa njia ya wanajamii wenyewe kuweza kusaidiana kwa kuinuana kiuchumi kwa njia ya KUCHANGIANA.

Sasa basi mnachangianaje na kunyanyuana kiuchumi / kifedha?

Ili uweze kujiunga na Fursa hii ya CROWD RISING ni lazima ujiunge kwa kumpatia / kumchangia / kumtumia moja kwa moja kwenye simu yake (tigo pesa, mpesa, airtel money, ezy pesa, PayPal, Bitcoin, Western Union, Bank za kawaida n.k Kiasi cha shilingi 20,000 / = Yule aliyekupa / kushirikisha fursa hii ambaye atakuwa ni Mwanachama wa I CROWD RISING Ili akusajili. Fedha hiyo itakuwa ni yake moja kwa moja.

NB:Kiwango cha kimataifa no $20=44,000 ila ilikukomboa watanzania wengi na wenye maisha ya chini tunajiunga kwa kuchangia 20,000.

Hivyo
Unatoa / kuchangia 20,000 kwa aliyekushirikisha Fursa hii (mama) ..

GRADE 1

Kisha wewe unatakiwa (kushirikisha) watu 5....na kila mmoja atakupatia / kukuchangia na wewe 20,000 Tsh. ( za Kwako hizo huwarudishii) ZAKO

5× 20,000= 100,000/=

GRADE 2

Kwenye hiyo 100,000 unatakiwa kuchangia 40,000 kwa mtu alomuunganisha alokuunganisha wewe (Bibi/babu) , kwa lugha rahisi ni kwamba una changia hiyo hela kwa Babu/Bibi yako.

So, itakuwa
100,000-40,000= Utabakiwa na Tsh 60,000/=

60,000-20,000 (Mtaji ile uliyotoa kwanza )= 40,000/=

40,000 ndo faida kutokana na watu wako wale watano.

2. Hao watano...kila mmoja ataunganisha watano kama ulivyofanya wewe...

Then itakuwa watu wako wa 5 (watoto) Wakishirikisha wa 5 wao= 25 Watu (wajukuu)

Na hao 25 Wakishirikisha wa 5 wao na wao watakuwa na 100,000 /=

Sasa basi kila mjukuu wako mmoja Atakuchangia Tsh 40,000 toka kwenye 100,000 zao kama wewe ulivyomchangia bibi yako 40,000 pale awali = SAWA??

Hivyo basi 40,000 X 25 wajukuu = Jumla ukapokea / changiwa kiasi cha Tsh 1,000,000/=

GRADE 3

Kwenye 1M yako Sasa hivi utamchangia wa juu yako zaidi 100,000=
1,000,000 -100,000= (900,000 hiyo faida yako utakula wewe na familia yako)

Hela inazidi kuongezeka tuuuu...

3) Na hao 25 kila mmoja akiunganisha watano ndani ya timu yako utakuwa na vitukuu 125. Na wao pia watakuchangia 100,000 kila mmoja

Tsh 100,000 X125 wajukuu unapata 12,500,000.

GRADE 4
Hapo utatoa 250,000 ya kumchangia Tena wa juu yako zaidi inayobaki ni faida yako. Na hivyo kuruhusu kupokea 250,000 toka kwa vitukuu vyako 625

625 vitukuu X250,000= 156,250,000/= HIZO FEDHA NI ZAKO WEWE UTAKAZOZIPATA KWA KUCHANGIANA NA WENZAKO TU.

Tambua,CROWD RISING Kuna Grade ya 1 hadi Grade 15. Kwenye hiyo grade ya 4 Tayari una Milioni 1566,250,000. Ukifika Grade ya 15 utakuwa na Mamilioni mangapi?

KARIBU CROWD RISING

KUMBUKA
CROWD RISING haishiki fedha yoyote ya Mwanachama wake, KILA MWANACHAMA WA CROWD RISING ANASHIKA FEDHA ZAKE MWENYEWE KWENYE ACCOUNT YAKE MWENYEWE.

KARIBU UJINGE
Ni SMS kwa 0717484622
DECI, RIFARO
 
NUKUU NO 2#

Kwa kadri maisha yanavyokuwa ndivyo yanavyokupa nguvu zaidi ya kukabiliana nayo ili hatimaye kufikia kelele cha mafanikio
Maisha ni suala la mapambano, anayeshinda pambano ndio bingwa

Maneno haya yalisemwa na waziri mkuu wa zamani wa Cambodia, Lon Nol.
Lon Nol alizaliwa Nov 13,1913 na kufariki Dunia Nov 17,1985
 
NUKUU NO 3#

Nawasifu wanajeshi wote wa Tanzania kwa uhodari, ushupavu na moyo wao thabiti wa kulinda taifa letu

Nawaomba waendelee kuwa na moyo huo pamoja na kusaidia wakazi wa vijiji vya ujamaa vilivyoko jirani na kambi zao katika mipango yao ya kuzalisha mali

Maneno haya yalisemwa na Edward Sokoine, akiwa waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Agosti, 1972

Edward Sokoine alizaliwa Agosti 1,1938 na kufariki Dunia April 12,1984 amewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom