Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Ole wako usimpe na nineshawekaAkiweka kesho nna zawadi yako kubwaaaaaa
Ole wako usimpe na nineshawekaAkiweka kesho nna zawadi yako kubwaaaaaa
Weka pichaAnalima mihogo
Mi naupenda sana ule beautifulAffairs to the heart? Ni bonge la ngoma na hiyo chorus naielewaga sana
Anaanzia wapi kwa mfano??Akiweka kesho nna zawadi yako kubwaaaaaa
Watu wa Sumbawanga mna tabu sanaWanapetea sinia..... Alafu kazi ya ungo si kupetea pekeyake kuna na hizi piaView attachment 397154View attachment 397155
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Weka picha
Sumbawanga au kigoma?Watu wa Sumbawanga mna tabu sana
Sasa huo ungo uliovunjika ni upi kati ya hizo picha?
Bifu gani we muhaBado lile bifu halijaisha??
Jimena mweeeAsante sana Dj Cobblepots burudani imenishika vilivyo
My Top 5
1. La Isla Bonita - Madonna
2. I want to know what love is - Foreigner
3. Time after time - Cindy Luper
4. See u when you get there - Coolio
5. Dear mama - Tupac Amar Shakur
Kavunjwa tuSasa we umeshavunja??
Acha bangi gizani dogo langu, angalau jifunze kula totozUsimwambie mtuView attachment 397135vungaaaa
Ili iweje sasa
Totoz kuleni nyie tuAcha bangi gizani dogo langu, angalau jifunze kula totoz
Kuweka picha ya ungo uliovunjika ni kinyume na sheria...... Kwasababu inakuwa na exclipt content [emoji19]Watu wa Sumbawanga mna tabu sana
Sasa huo ungo uliovunjika ni upi kati ya hizo picha?
MchanganyikoSumbawanga au kigoma?
Anajua yeyeBifu gani we muha
sawaEspanola 1 real s 0
[emoji23] We ni mchawi??Kavunjwa tu