radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Wikend itaisha poa sana, shukrani kaka kwa mziki mzuri
Hapo kwa jr gong damian marley ni balaa mkuu
Wikend itaisha poa sana, shukrani kaka kwa mziki mzuri
Usimwambie mtuTulia ww
Malizia kutosha vyombo
![]()
![]()
![]()
............
Weka picha,, sasa zikishavunjwa mchele wanapeta na nini?Hapana. Nyungo huvunjwa na ninyi wenzetu wa jinsia pendwa pekee, na mimi sio mmoja wenu.
SitimbiAlikuja Bongo ww ukiwa kijijini kwenu
![]()
![]()
![]()
...........
Weka picha
Weekend imekuwa murua kabisaWikend itaisha poa sana, shukrani kaka kwa mziki mzuri
Huwezi kuamini na mi top 5 yangu ndo hiyo hiyo yako isipokua hiyo namba 5 ndo iwe namba 1
Afu hiyo namba hiyo namba 2 ndo dedication yangu kwako![]()

Mzima, habari ya weekend?Jimena mzima ndugu yangu?
KAPUKU'S TOP VIBES FOR THE WEEKEND; REMINISCING THE OLD MUSIC
1. Dear mama- Tupac Shakur ft Sweet Franklin and Reggie Green
2. Goodbye- Celine Dion
3. See you when you get there- Coolio
4. I want to know what love is- Foreigner
5. Time after time- Cindy lauper
6. The end of the road- Boys to men
7. La Isla Bonita- Madonna
8. Step in the name of love- R.Kelly
9. Sweetest Girl- Wycleff Jean ft Lil Wayne and Akon
10. When i come home- Morgan Heritage
11. Hate it or love it- 50 Cent ft The game
12. I want to know what love is- Mariah Carey
13. Affairs of the heart- Damian Marley
CC: briz , makaveli10 , Jimena , Sweetiepie , shululu
Poa kaka, pamoja sanaUsijali kaka.
Analima mihogoAlikuja Bongo ww ukiwa kijijini kwenu
![]()
![]()
![]()
...........
Affairs to the heart? Ni bonge la ngoma na hiyo chorus naielewaga sanaHapo kwa jr gong damian marley ni balaa mkuu
SanaaWeekend imekuwa murua kabisa
Ili iweje sasaUsimwambie mtuView attachment 397135vungaaaa
Asante sana wangu![]()
![]()
![]()
![]()
Basi kumbe ndio maana tunaenda sawa ....
Nami nairudisha kwako hiyo hiyo I wanna know what love is
![]()
![]()
![]()
![]()
Kaninasa wapi, au na wewe ni wa aina yake ?![]()
![]()
alishakunasa balaa tupu
Weka picha,, sasa zikishavunjwa mchele wanapeta na nini?
Affairs to the heart? Ni bonge la ngoma na hiyo chorus naielewaga sana
Wanapetea sinia..... Alafu kazi ya ungo si kupetea pekeyake kuna na hizi piaWeka picha,, sasa zikishavunjwa mchele wanapeta na nini?