Makapuku Forum

Wasomi wa Afrika hawaheshimiki wakiwa Afrika. Huko Ulaya na Marekani wanaheshimika sana tena sana tu.

Afrika kinachoheshimika ni pesa haijalishi umezipataje; na usomi wako hauna thamani kama hujatajirika. Ulaya na Marekani msomi/profesa anategemewa kufundisha na kufanya utafiti na jamii inamheshimu na kumuenzi kwa njia hiyo na kamwe hategemewi kuwa tajiri. Ndiyo maana si ajabu kumwona distinguished professor akienda kazini kwa baiskeli au kwa miguu. Hawajali na hakuna atakayemcheka na actually ndo anaheshimika zaidi.

Usilaumu wasomi wa Afrika bali laumu amali zetu zinazomtaka kila msomi awe tajiri badala ya kuupima usomi wake kwa kuangalia mchango wake kitaaluma, kimawazo na kijamii.
 
Maneno murua
Ndio maana nikasema wana njaa sababu wanachotafuta ni utajiri kwenye siasa ili wapige dili
..............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…