Makapuku Forum

Naona mnasahau misingi ya makapuku, hamtoi like.

Mtu analeta mada hajamaliza mnapiga stori katikati yake!

Siku njema. Ijumaa Kareem.
Samtaimu namezeaga tu
Kupiga stori katikati ya mada siyo mbaya
tatizo story uchwara za QUOTE 100 tena unaweza kukuta ni za mtu mmoja hadi nahangaika kutafuta post zaako niweke picha
Jamani tujirekebishe

Mtu ukiamka usianze kuquote mambo yaliyopita (Jana ni Jana.....Leo ni siku mpya swaga mpya) km yalikupita MEZEA....
anzisha swaga mpya
Hilo ndo kero kuu
Ukiingia tulia angalia kuna swaga gani

Naongea kiungwana tu
Najua wengine hawawezi kusema
Peace and love

............................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…