briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Wakati mwingine ni bora maumivu ya pesa tena kwa muda mfupi tu kuliko maumivu ya mapenzi maishaniFharama ulizoingia kumuoa je haziumi?
.......
Wakati mwingine ni bora maumivu ya pesa tena kwa muda mfupi tu kuliko maumivu ya mapenzi maishaniFharama ulizoingia kumuoa je haziumi?
.......
City bila ya aguero.. Siifurahii sana hyo game. Kuna vitu ntakosa, nilivyotaman kuviona..
Ukiingiza bomu chumbani.....utalala uaniWakati mwingine ni bora maumivu ya pesa tena kwa muda mfupi tu kuliko maumivu ya mapenzi maishani
Nenda kabetCity bila ya aguero.. Siifurahii sana hyo game. Kuna vitu ntakosa, nilivyotaman kuviona..
Man u win 40%
Man city win 30%
Draw 30%
Wakati mwingine ni bora maumivu ya pesa tena kwa muda mfupi tu kuliko maumivu ya mapenzi maishani
We bwege unataka kunizoea.. Ntakubutua boya wewe.. Mie sinaga stori na wachimba chumvi, nyama choma wee..Dogo umeamka na udenda mdomoni jioni yote hii
![]()
![]()
![]()
...........

Dawa ni kupiga tu chini mkuu, hakuna haja ya kuendelea na hicho kichomiUkiingiza bomu chumbani.....utalala uani
![]()
![]()
![]()
............
Fanya makosa yote dunian, usikosee kuoa(mke) ndugu yangu umeisha.Wakati mwingine ni bora maumivu ya pesa tena kwa muda mfupi tu kuliko maumivu ya mapenzi maishani
Namjpungia na ww PUNGAWe bwege unataka kunizoea.. Ntakubutua boya wewe.. Mie sinaga stori na wachimba chumvi, nyama choma wee..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mie mbona mzee wa majamvi sana tu.. Japo siku hizi nimepunguzaNenda kabet
Km unajiamini
.............
Mi napiga game kimya kimya ikiisha hiyo honey moon kila mtu kivyake



hata mi ningemaliza kwanza na game la kibabe mkuu.. Unaanzaje kumtukana mamba hujavuka mto?Kweli aiseeDawa ni kupiga tu chini mkuu, hakuna haja ya kuendelea na hicho kichomi
Uko sahihi kabisa chiefFanya makosa yote dunian, usikosee kuoa(mke) ndugu yangu umeisha.
hata mi ningemaliza kwanza na game la kibabe mkuu.. Unaanzaje kumtukana mamba hujavuka mto?
kwanza ningejidai sijaionaMbona umeoa demu mwenye kengeza,chogo na mategeFanya makosa yote dunian, usikosee kuoa(mke) ndugu yangu umeisha.
Lione hata kuongea, halijui..Namjpungia na ww PUNGA
![]()
![]()
![]()
...........
Sijawahi kubetDawa ni kupiga tu chini mkuu, hakuna haja ya kuendelea na hicho kichomi
Tena game ya kibabe.. Heavy, unafungulia silaha zote za akiba.. Anapata game hajawah kupata wala hafikirii kuipata tena maishan mwake.. Then unampa kidochi.Mi napiga game kimya kimya ikiisha hiyo honey moon kila mtu kivyake
![]()
![]()
![]()
kwanza ningejidai sijaiona




yani kama hujaona vile unajikausha nywiiii... Mana ukijidai kulianzisha jua ndo hupati ng'ooo