Mkuu ustaarabu ni kitu muhimu
Mfano mtu umeingia umekuta post 200 zinazokuhusu
Je utareply zote?
Mstaarabu ataquote 5 tu
Hapa ni sehemu ya kujanja tuwe wajanja
Jisikie poa lakini.
Huu uzi unasomwa na watu wengi
.............................
Saidia kumuelewesha huyo mchafua uzi au hujaona alichofanya ?
Reply 100 mfululizo za kujisemeshasemesha
Ni usumbufu na kuharibu uzi
.........................................