Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Sema ni mpenzi wangu bhana waogopa nin kama wpenda?nawe bana! makusud sasa!
Sema ni mpenzi wangu bhana waogopa nin kama wpenda?nawe bana! makusud sasa!
Endelea kuotaHii couple haina afya kabisa
Nakuwa nakumiss hasa unapoku kimya.abee honey
Nimelegea vipi bro?Lizzie daah hatimae umelegea! Hii kitu haina ujanja eee!!
Bora umuulize......Usijali mama,sasa yetu lini?
Th name hongeraaaaNjoo baby wangu
Tutayaongea tu, mambo mazuri hayataki harakaUsijali mama,sasa yetu lini?
Nakuja hubby!Njoo baby wangu
Ha haaa.... Hiyo ndoa imeshapingwaaa....TANGAZO
KWA MARA YA KWANZA TUNATOA TANGAZO LA NDOA YA BWANA MANUU NA BI AMAIZING
MWENYE PINGAMIZI AKAENALO MOYONI
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
am gonna kill some one after 10 minute

simu imejaa tayari
Kumbe wewe kipangaeeeeacha hizo basi
Jamani dada, tunafanikisha ya kwako kwanzaBora umuulize......
Haya mambo ya kuchunguzana miaka mitatu utakuna mwana si wakooo
Tusije tukaanza kuchokana kabla ya ndoaBora umuulize......
Haya mambo ya kuchunguzana miaka mitatu utakuna mwana si wakooo
ukimchunguza bata hutomlaTutayaongea tu, mambo mazuri hayataki haraka

Kuna jamaa alikuwa anarusha ndoano kwako ulikuwa mkali but sasa naona mnaongea lugha lainiiNimelegea vipi bro?
Dah!Tutayaongea tu, mambo mazuri hayataki haraka
Weee......... Unataka World War 3 ianze au??Ha haaa.... Hiyo ndoa imeshapingwaaa....
Kapuku forum
S.l.p 290
Jotro CTY
Yah. Kukataa ndoa ndoa ya manuu na amaizing
Na kikao halali kabisaa
Wajumbe Wa kikao
1.sumbai
2.ibra87
3. Mzeee mshana
4damtanzania
5. Deokimaro
Kwa sauti moja wamesema ndoa iahilishwe.
Signature
Sumbai.
Katibu Wa mahusiano.
Kapuku forum.
Imepitishwa na
Bitoz
Jimena
Th Name

pole hny.C unajua mda mwingine nkiingia jikoni inabid simu ikae pembeniNakuwa nakumiss hasa unapoku kimya.