makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,486
Mkuu nimejaribu kila ujuzi ninaoujua mimi mchawi wa network wapi.. Sasa hiv kidogo afadhali.. Halotel Internet edge hapa, hyo tigo ndio kabisa,emergency kila mara utafikiri tuko muhimbili..Haha funga capacitor mkuu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] naunga mkono hojaNakupenda zaidi, tuingie chumbani
Jecha kanifutia matokeo hata ukanipoze na tunda[emoji173] [emoji173] [emoji173]
Cc mussolin
Nitamleta chief usiogopeHongera kwako himena himenes kwa kutusua.. 100k, una zawad yako nzito, nikitua tu dsm plz fanya mchakato uje ubebe zawad yako kigambon, but PLEASE DNT COME WITH UR TWIN CWT P, ila RUKSA KUJA NA KIPENZI CHAKO MR. BRIZ HIMSELF
Ciao
Unajua kuiona ilikuwa lazima utoke jf harafu urudi tena, ndio unaona vizuri post ya 100000 ni ya nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha sana kiongozi.. Mbishi ka nkurunzinza
Hahaha ni kweliMkuu si unajua vita vya panzi furaha kwa Kunguru
Kwahiyo hata ufute post zako zote KF bado 100k itakuwepo kwa yuleyule aliyetupiaNnaelewa hiyo.. mr. Navutwaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Network tu mkuu + nishe za huku.. Toka mchana ule nilikuwa bize halaf network nayo maseke nikaivungia, hapa saa hiz naona sabab ya watu kulala.. 2g ya halotel bora kuliko 3g ya tigo.Aisee nimekumisi sana kamanda ulipotelea wapi, umeikosa ligi kubwa
Asante Ankali
Zawadi yangu kwako ni mvinyo utakufikia huko uliko[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] cheers
Jecha atapewa tuzo soonKwel kabisa Ujecha umehusika hapaaa
Waweke na picha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] naunga mkono hoja
Mrs. Navutwa where are you?hahahahaj eti Navutwaaa
Bora hujapata wewe mvaa kata k, tusingelala kwa amani kambi ya upinzaniOption ya DELETE ndo imewachanganya watu badala ya kusoma # wao wakaangalia mtu wa mwisho kwenye page
Wkt post zingine zimefutwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
Uliipania sana tatizoNetwork tu mkuu + nishe za huku.. Toka mchana ule nilikuwa bize halaf network nayo maseke nikaivungia, hapa saa hiz naona sabab ya watu kulala.. 2g ya halotel bora kuliko 3g ya tigo.
Dah.. Nilikumis zaid arif
Halotel ndo suluhisho, 3G huwa naipata hata nikiwa chakaMkuu nimejaribu kila ujuzi ninaoujua mimi mchawi wa network wapi.. Sasa hiv kidogo afadhali.. Halotel Internet edge hapa, hyo tigo ndio kabisa,emergency kila mara utafikiri tuko muhimbili..
Tit for tatBitoz we si ndio Lubuva?? kabandike matokeo[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]
Code zitakuja PM ila mwambie Lubuva akaniweke pale basiZawadi yangu kwako ni mvinyo utakufikia huko uliko
Muhimu unitumie code tu