briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Imekuaje tena?? [emoji15][emoji15][emoji15]Hakunaga tena[emoji6]
Imekuaje tena?? [emoji15][emoji15][emoji15]Hakunaga tena[emoji6]
Cc bitozTungeonana wote pia basi siku moja..nawaza tu [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85].
Hamna ...kwa jinsi hii kitu ilivyopaniwa, kuna hatari ya mtu kuumia humuHaha mbona unaanza kukata tamaa mapema?
Fundi wa maneno uwanjaniKama kuna ukwel hapoView attachment 394922wengine wanamwita fundi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mia mia mkuu, punda afe mzigo ufike huo..
Cc sweetiepieTatizo we hukuwa unamkalia hivyo makaveli10 ndo mana kala kona [emoji3][emoji3]
Weka link hapa tumchambue kwa pamojaHivi lutete ni nani nasikia kamtukana obama
Hongera yangu ni kwa sikukuu ya uhuru mkuuWala sio wakupongeza, mpe pole
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio kwa kununa huko
Duh noma sana.. Laana hiyo[emoji3][emoji3][emoji3]kuna mmoja kamgeuza mwanae mkewe na kumwambukiza ukimwi
Sasa na huyu nina wasiwasi nae
Bado hujatoboa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rais wa UfilipinoHivi lutete ni nani nasikia kamtukana obama
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] chanzo niniRais wa Ufilipino
Kamwita mwana wa kahaba
..............
Mchezaji bogaz kabisa yuleFundi wa maneno uwanjani
Na amesema haogopi chochoteRais wa Ufilipino
Kamwita mwana wa kahaba
..............
Hahaha kwan una mpango wa kukesha na uzi? Tutakutana mida hiyoHahaha, batili kivipi? Yani mkajiroga leo wote kulala kabla 100k haijabikiriwa....basi mkiamka mtakuta nimeshaharibu😀😀😀🙂
JJ anatosha [emoji4]Washangiliaji unao?
Sijatoboa kivip kaka ake lulu?Bado hujatoboa tu