Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anazuga tu, kanifuata pm ananishukuru kwa maombi niliomfanyia apate mume
Na hata mimi nakuamini akija tena mfariji kwa mstari huu unaosema...Msihangaike juu ya kitu chochote, bali katika kila jambo kwa sala na dua pamoja na kutoa shukrani maombi yenu na yajulishwe Mungu; na amani ya Mungu yenye ubora unaozidi fikira zote itailinda mioyo yenu na nguvu zenu za akili kwa njia ya Kristo Yesu Wafilipi 4:6-7
 
Hapa ndio nazidi kukupenda mume mwema
 
Na hata mimi nakuamini akija tena mfariji kwa mstari huu unaosema...Msihangaike juu ya kitu chochote, bali katika kila jambo kwa sala na dua pamoja na kutoa shukrani maombi yenu na yajulishwe Mungu; na amani ya Mungu yenye ubora unaozidi fikira zote itailinda mioyo yenu na nguvu zenu za akili kwa njia ya Kristo Yesu Wafilipi 4:6-7
Haina shida ntaongezea na Efeso 3:20 atukuzwe yeye atendayo mambo ya ajabu kuzidi yale tuyaombayo au tuyawazayo kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom