sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
ayaaaa yani kosa kalifanya yeye, msamaha unaomba wewe... real sadNisamehe wangu sirudii tena.

ayaaaa yani kosa kalifanya yeye, msamaha unaomba wewe... real sadNisamehe wangu sirudii tena.

yaani na wewe unataka kuniletea fitina sasaayaaaa yani kosa kalifanya yeye, msamaha unaomba wewe... real sad![]()
![]()

Kumbe!Kaka umechanganya mafile
Wifi alikuwa anamsema shemeji ako manuu ndio hajiamin
Nashukuru kwa majibu ya maombi naona unafurahia mume mtarajiwa,Kaka umechanganya mafile
Wifi alikuwa anamsema shemeji ako manuu ndio hajiamin
Na bwana atakubariki mno...Ila wewe mbona kama huna kituo ama bado unasafir?Haina shida ntaongezea na Efeso 3:20 atukuzwe yeye atendayo mambo ya ajabu kuzidi yale tuyaombayo au tuyawazayo kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu
Sawa sweetieUsijali sweety, tusiwape faida wanaochukia kuona tunapendana
Usimsikilize huyoyaani na wewe unataka kuniletea fitina sasa![]()
Acha kujidai sheikh Yahya !!!....Hahahahahah pole sana ndugu yangu naona bado unapapasa macho kwa kila anaekupita shauri yako..Tatizo hutaki kuuliza mbinu mpya za kuvuta vitu vikali chap chap...Utazeeka ukisindikiza kwa macho tu..
Shemeji easy easy hakuna shida...Kumbe!
Safari yangu ni ndefu mkuuNa bwana atakubariki mno...Ila wewe mbona kama huna kituo ama bado unasafir?
Akipata wa kwake atatuliaUsimsikilize huyo
Kuna watu wamekakaa kifitina fitina tu.
mkuu vipi mbona hii kampeni unaifanya kwa moyo sana au kuna ka rushwa umeahidiwa....nimewaza tu lakiniNashukuru kwa majibu ya maombi naona unafurahia mume mtarajiwa,
Naye akufurahia ...apataye mke apata kitu chema

Endelea kuleta kibur utakula jeuri yako..Acha kujidai sheikh Yahya !!!....
Mkuu niko radhi kufanya chochote ili nisimkose huyu mtotoayaaaa yani kosa kalifanya yeye, msamaha unaomba wewe... real sad![]()
![]()
Kwa kupenda ama imekulazimu maana kituo hukioni..?Safari yangu ni ndefu mkuu
Mwanaume lazima upambane, hongera Mkuu.Mkuu kamata glass tugonge cheers wala hujakosea nimechukua mazima ila kulikuwa na vikwazo vingi mno..
Usiogope shemeji*Shemeji easy easy hakuna shida...