Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Please don't do this to me...pls [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ushahidi tosha..
Please don't do this to me...pls [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ushahidi tosha..
Wala siend mbali niko karibu tu hapa..Nimesema tu baby...usiende mbali sasa
Umefanikiwa kuvunja ndoa hata mwezi haina...umerevenge ya 123?!! daaah [emoji15][emoji15][emoji15]Natamani angenitumia peke yangu na sio family
Huyu ni kumbikumbi huyu!!!Huyu sio mbung'o kweli huyu anaesumbuaga mifugo!!
Sihitaji kuhoji, hata kama sijui kusoma lakin picha naona.Kupendana kwa watz ni muhim labda uhoji aina ya upendo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikuwa natania broWe jichanganye km unataka uwekwe jina utawekwa
.....
Mkokosi huyo on fleek!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Bitoz ficha makalio yako bhana..[emoji23] [emoji23] [emoji17] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Kuna msemo wa KABILA flani la WAMERU wanasemaga "(kana ka kweendee) maana yake..MDOMO utakuleta madhara ukiutumia vibaya
Jamani...[emoji22][emoji173][emoji173][emoji15][emoji15][emoji15]"Everything ido, i do it for you"
5[emoji109]Kula 5
[emoji109]
Kwani mie nimekataa, endeleen tu kupenda, unaonaje ukienda kwake mkapendane vizur..[emoji57] [emoji57] kwa kujinafasiSikia baby usifikirie vinaya...Mwenyezi Mungu alituagiza upendo mbona hivyo lakini!!! binadamu tupendane.[emoji3][emoji3]
Nini tena kimetokeaNile nini.. Uniue kabisa upate kujitawala ndan ya nyumba yangu eeh.. Kula na bwana wako Quigley kama kula mali..
"Eti njoo ule" loh hata haya huna mtoto wa kike, nilipokutoa kwa kina sczny, mapaka leo hii.. Kweli prof j aliimba, hakukosea.
Basi uwe mpoleSihitaji kuhoji, hata kama sijui kusoma lakin picha naona.
Jamani...[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Kwani mie nimekataa, endeleen tu kupenda, unaonaje ukienda kwake mkapendane vizur..[emoji57] [emoji57] kwa kujinafasi
We si ndio umenikataza mimi, umeniambia mdomo unaweza kunileta madhara, saaa we mbona unaropoka.. Shaur yakoHuyu baba j angefaa kutumwa ni mchapa kazi mzuri lakini sio uongozi narudia ni zero minus
[emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]Nini tena kimetokea
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Tuliyamaliza
Ww unalianzisha tena hujui yule ana damu ya bluu
Mtabishana wenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Kumbe hukunielewa, nilimaanisha mkulu mdomo unamponzaWe si ndio umenikataza mimi, umeniambia mdomo unaweza kunileta madhara, saaa we mbona unaropoka.. Shaur yako
Everything kuhusu swaga za maisha EXCEPT ugomvi + matusi
We ishia hapo hapo.. Tena usinishike, nataka tuachane vizur kama tulivyoanz.. Plz paki vitu vyako nikurudishe kwenu.. Gari hyo imefka nje.Ndo ujue huyu mtu sio wangu, you are the only one jamani trust me.