Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Unajua nilipogundua kuwa Bwana ndiye mchungaji wako na hutapungukiwa na kitu nimeamua nikuunge mkono tu.Maneno murua kabisa haya..
Unajua nilipogundua kuwa Bwana ndiye mchungaji wako na hutapungukiwa na kitu nimeamua nikuunge mkono tu.Maneno murua kabisa haya..
yaani hii mvua hatari, hadi sabuni zimepanda bei dukaniMvua za masika zimechochea nini! Naona mnagawana tu
Uko fit sana kwenye sector najiuliza tu ni wapi ulijikwaa ukaanguka..Naongezea...yeye asiye mwachilia mwana wake mwenyewe bali alimtoa kwa ajili yetu sisi, atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye?
Kwani umeona shida bwana chama tawala?ndugu vipi tena kuna shida au?
Hakika..Unajua nilipogundua kuwa Bwana ndiye mchungaji wako na hutapungukiwa na kitu nimeamua nikuunge mkono tu.
"mr big stuff" mbona leo unamuandama sana mme wangu???kapika3 aggyjay una lingine
Hahaha mkuu haya oeni muache hizo tabiayaani hii mvua hatari, hadi sabuni zimepanda bei dukani
Karibu bana si unajua hii kitu inaongeza marafikitupeane mialiko wakuu
Hajaanguka mtu mkuu navipiga vita kisawasawaUko fit sana kwenye sector najiuliza tu ni wapi ulijikwaa ukaanguka..
hana lolote mumeo, hebu njoo PM kwanza"mr big stuff" mbona leo unamuandama sana mme wangu???
MmnhhhWacha nimwite amaizing tu kwa kuanzia naamini kadri mda unavyozidi kwenda majina yatajichagua yenyewe tu..Nimefurahi sana halafu kumbe tuna hoby sawa ya maji ya mende yaani hakuna kulala..Nakushukuru pia kwa jithada zako..
....unajua hata kwenye gari kuna spea tairi, ina umuhimu wake ujueHahahahahaaa anatongoza kibabu kweli. Inabid uumpe somo.
I Miss you husband, na hii mvua nakumis zaid bae.
View attachment 338734
muda wa mazoezi kidogo
Nimesimama hali nimejifunga dirii ya haki kifuani, upanga mkononi na miguu ya utayari..efeso hiyoUko fit sana kwenye sector najiuliza tu ni wapi ulijikwaa ukaanguka..
Kwakweli ni jambo la muhimu sanaaaaHapa sasa ndo umeongea point
Ni muhimu sana swala hili
Basi sawaKwani umeona shida bwana chama tawala?
Tuishie hapo tu. Nisije nikatukana, lugha za wanaoziweza hiziha
haha 사운드보기 좋은