1970 - Salvador Allende anachaguliwa kuwa Rais wa Chile.
Miaka mitatu baadae anapinduliwa katika kile kilichoitwa mapinduzi ya Kijeshi yaliyoungwa mkono na CIA na kumiweka madarakani kibaraka, General Agusto Pinochet.
Baada ya kupinduliwa Rais Allende alijiua kwa kujipiga risasi.