Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 15, 2016 #9,601 youngblood said: Naona uzi umevamiwa na majambazi. Th Name please naomba utambulisho wa wageni pamoja na ratios za wanaume na wanawake. Click to expand... Majambazi tena
youngblood said: Naona uzi umevamiwa na majambazi. Th Name please naomba utambulisho wa wageni pamoja na ratios za wanaume na wanawake. Click to expand... Majambazi tena
Nahrene JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 938 Reaction score 2,908 Apr 15, 2016 #9,602 manuu said: Nakuaminia sana jiranii..Najaribu kubadilisha hata majina ya watu huku nisije ulizwa huyo ni nani kwa hiyo wewe ni jirani yangu... Click to expand... Mie mdogo wake usijali
manuu said: Nakuaminia sana jiranii..Najaribu kubadilisha hata majina ya watu huku nisije ulizwa huyo ni nani kwa hiyo wewe ni jirani yangu... Click to expand... Mie mdogo wake usijali
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 15, 2016 #9,603 manuu said: PM ama mshenga na wewe umeplay part kubwa sana hapa una budi kufurahia... Click to expand... Amemaliza kazi yake hakikisha hana namba ya shem na baadae asije kuleta mazoea ya kuja kwako washenga hawaaminiki
manuu said: PM ama mshenga na wewe umeplay part kubwa sana hapa una budi kufurahia... Click to expand... Amemaliza kazi yake hakikisha hana namba ya shem na baadae asije kuleta mazoea ya kuja kwako washenga hawaaminiki
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 15, 2016 #9,604 Th Name said: Majambazi tena Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 15, 2016 #9,605 amaizing said: Kwakweli ni jambo la muhimu sanaaaa Click to expand... Sana sanaaa
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Apr 15, 2016 #9,606 Th Name said: Ni kweli lazima nifurahie sana. Maana ilikuwa kazi nzito. amaizing nakutakia kheri sana Click to expand... Ila penye nia pana njia hatimaye yakaja timia...Nisaidie kumwambia amaizing nampenda sana..
Th Name said: Ni kweli lazima nifurahie sana. Maana ilikuwa kazi nzito. amaizing nakutakia kheri sana Click to expand... Ila penye nia pana njia hatimaye yakaja timia...Nisaidie kumwambia amaizing nampenda sana..
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Apr 15, 2016 #9,607 Bitoz said: Click to expand... Naona wanatuona sisi watoto mwanzo walisema unaanza lini na hakuna kilichoonekana barabarani
Bitoz said: Click to expand... Naona wanatuona sisi watoto mwanzo walisema unaanza lini na hakuna kilichoonekana barabarani
Desire Dizaya JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,476 Reaction score 11,671 Apr 15, 2016 #9,608 EMMYGUY said: Hallo mpenzi aggyjay Click to expand... hallo baby🙂🙂
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,426 Apr 15, 2016 #9,609 aggyjay said: sasa huoni ubaya?? Click to expand... cha mtu kinaliwa na mtu mrembo
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 15, 2016 #9,610 youngblood said: Hivi mkuu jambilo ulitoa maana ya hili jina!! Click to expand... Mkuu nikitoa maana ya jina hili nitaharibu sana, acha libaki hivi hv mkuu, samahani lakini
youngblood said: Hivi mkuu jambilo ulitoa maana ya hili jina!! Click to expand... Mkuu nikitoa maana ya jina hili nitaharibu sana, acha libaki hivi hv mkuu, samahani lakini
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Apr 15, 2016 #9,611 Za jioni wapendwa? Hii mvua balaa
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Apr 15, 2016 #9,612 manuu said: Ila penye nia pana njia hatimaye yakaja timia...Nisaidie kumwambia amaizing nampenda sana.. Click to expand... Khaaa We mwanaume unataka akusaidie kuniambia unanipenda Utasaidiwa na vingine
manuu said: Ila penye nia pana njia hatimaye yakaja timia...Nisaidie kumwambia amaizing nampenda sana.. Click to expand... Khaaa We mwanaume unataka akusaidie kuniambia unanipenda Utasaidiwa na vingine
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 15, 2016 #9,613 10k
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 15, 2016 #9,614 manuu said: Ila penye nia pana njia hatimaye yakaja timia...Nisaidie kumwambia amaizing nampenda sana.. Click to expand... Usijali nitafanya hivyo. amaizing unapendwa sana manuu . anasema muwe wote milele
manuu said: Ila penye nia pana njia hatimaye yakaja timia...Nisaidie kumwambia amaizing nampenda sana.. Click to expand... Usijali nitafanya hivyo. amaizing unapendwa sana manuu . anasema muwe wote milele
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,426 Apr 15, 2016 #9,615 everlenk said: Za jioni wapendwa? Hii mvua balaa Click to expand... nasikia baridi
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 15, 2016 #9,616 eden kimario said: Naona wanatuona sisi watoto mwanzo walisema unaanza lini na hakuna kilichoonekana barabarani Click to expand... Hawa jamaa wahuni sana mkuu,usishangae haya mabasi yakaanza kazi 2020
eden kimario said: Naona wanatuona sisi watoto mwanzo walisema unaanza lini na hakuna kilichoonekana barabarani Click to expand... Hawa jamaa wahuni sana mkuu,usishangae haya mabasi yakaanza kazi 2020
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Apr 15, 2016 #9,617 jambilo said: Amemaliza kazi yake hakikisha hana namba ya shem na baadae asije kuleta mazoea ya kuja kwako washenga hawaaminiki Click to expand... Ni kweli ila anaonekana ana dhamira nzuri sana na couple hii mpaka sasa sijaona dalili zote mbaya kwa kweli ..
jambilo said: Amemaliza kazi yake hakikisha hana namba ya shem na baadae asije kuleta mazoea ya kuja kwako washenga hawaaminiki Click to expand... Ni kweli ila anaonekana ana dhamira nzuri sana na couple hii mpaka sasa sijaona dalili zote mbaya kwa kweli ..
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 15, 2016 #9,618 youngblood said: Click to expand... Just relax dawa ipo
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 15, 2016 #9,619 jambilo said: Mkuu nikitoa maana ya jina hili nitaharibu sana, acha libaki hivi hv mkuu, samahani lakini Click to expand... Sawa mkuu jambi-lo.
jambilo said: Mkuu nikitoa maana ya jina hili nitaharibu sana, acha libaki hivi hv mkuu, samahani lakini Click to expand... Sawa mkuu jambi-lo.
sammoo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 701 Reaction score 1,604 Apr 15, 2016 #9,620 everlenk said: Za jioni wapendwa? Hii mvua balaa Click to expand... unamanisha mvua ya likes au za reply
everlenk said: Za jioni wapendwa? Hii mvua balaa Click to expand... unamanisha mvua ya likes au za reply