sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
hata kuongeza idadi ya binadamu ni maendeleo piaMmnhhh
Kama hoby zetu zinafanana Hatutafanya maendeleo
hata kuongeza idadi ya binadamu ni maendeleo piaMmnhhh
Kama hoby zetu zinafanana Hatutafanya maendeleo
Ngoja tusubiri kama itakuwa kweli
chobingo kufanya nn ww!!mi mke wa mtu! usije nivnjia ndoa yanguhana lolote mumeo, hebu njoo PM kwanza
Kumbe na maandiko unayafahamNiongezee ni Warumi 8:31 hii mstari huu mara mingi hutumika baada ya kufanikiwa jambo ama kupata ushindi fulani...

Finally, umekubaliKumbe na maandiko unayafaham![]()
![]()
Hakika wewe ni mume bora![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Nahrene uko poa wangu*!
Hapa na Mimi nimemkubaliNimekukubali uko vizuri pande zile pia...
Niko poa mpenzi wangu. Pole na majukumu ya siku nzimaNahrene uko poa wangu*!
Hii ilikuwa booster ya kampeniNgoja tusubiri kama itakuwa kweli
na mimi mme wa mtuchobingo kufanya nn ww!!mi mke wa mtu! usije nivnjia ndoa yangu
Hizi zarau ndio zinatufanya tuwe wamoja jiangalie we mkongweHii thread ifungwe, inajaza server za JF
Asante sweetheart,nilikumisi sanaNiko poa mpenzi wangu. Pole na majukumu ya siku nzima
.....@amaizing is this stuff confirmed???Yaani hujagundua kuwa nipo na raha fulani na nilipata support kubwa sana toka kwa PM Th Name mpaka tukafanikisha hiyo ishu naapa nipo kama vile nishampata nimfungia ndani basi nipo nje napiga story na mabest wakati asali wa moyo amaizing yupo ndani anafuta futa mavumbi ya kwenye sofa na sehemu zingine..
Nimeshinda vizuri honey. Na mikwara ya hapa na pale kutoka kwa jonaxAsante sweetheart,nilikumisi sana
Vipi siku ya iko vizuri!?
Siasa za siasa hii inaitwaHii ilikuwa booster ya kampeni
Vita vyetu c juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya mamlaka ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho Efeso 6:,12Vita vipo vya namna mingi wewe vita vyako ni vipi 1 Timotheo 1:18 inasema piga vita vile vizur vya imani...Sasa wewe vita yako ni ipi?
Vita vipo vya namna mingi wewe vita vyako ni vipi 1 Timotheo 1:18 inasema piga vita vile vizur vya imani...Sasa wewe vita yako ni ipi?