shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Cc mussolinSure... Hata hivyo tageti yangu ni 100k
Cc mussolinSure... Hata hivyo tageti yangu ni 100k
Unamchokoza bitoz weweKama gori la Anelka wakati akimtungua Peter
Oyeee...!!!The Gunners oyeee!!!!!!
Kuna watu wanaifanyia mazoezi kabisaSure... Hata hivyo tageti yangu ni 100k
The Gunners oyeee!!!!!!
Kazi na sala ndo mpangoTuko pamoja, tunajiandaa na sisi kesho kwenda kanisani
Yakunyumbani hiyoMbeya city hii bado haijaifikia Mbeya City ile ya akina David Burhan, Hassan Mwasapili, Kaseke Deus, Steven Mazanda, Mwigane Yeya, Nonga Paul, Saad Kipanga na wengineooo
Anachekesha huyoCc mussolin
Haha acha wajipange, tutakutana hukoKuna watu wanaifanyia mazoezi kabisa
Kweli aisee..Si ndio wanakua na mvuto
No Papaa, nshasepaPoa poa mukulu, bado upo nairoberi?
Sababu kila zama na kitabu chake kumbuka timu kubwa huziua mdogo kwa kuchukua mastaa wao waliotamba ni km Bayern kule GermanMbeya city hii bado haijaifikia Mbeya City ile ya akina David Burhan, Hassan Mwasapili, Kaseke Deus, Steven Mazanda, Mwigane Yeya, Nonga Paul, Saad Kipanga na wengineooo
Kweli arifu..Si ndio wanakua na mvuto
Tuanze na hapo.. Rusha rusha...usiogope..
huyu si Balotelli huyu au....



Tupo wengi hapo.. Naamin kf wote tunaitega hyo 100kSure... Hata hivyo tageti yangu ni 100k
Bayern huwa anazionea sana timu ndogo,Sababu kila zama na kitabu chake kumbuka timu kubwa huziua mdogo kwa kuchukua mastaa wao waliotamba ni km Bayern kule German
........