Makapuku Forum

Hahaaa
Wakaribie katika timu yetu
 
Kwanza amaizing ushamalizana nae???....
Yaani hujagundua kuwa nipo na raha fulani na nilipata support kubwa sana toka kwa PM Th Name mpaka tukafanikisha hiyo ishu naapa nipo kama vile nishampata nimfungia ndani basi nipo nje napiga story na mabest wakati asali wa moyo amaizing yupo ndani anafuta futa mavumbi ya kwenye sofa na sehemu zingine..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…