Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani MANDELAA KIWELU na dada Linamo niwashukuru pia nanyi maana mambo sasa yanaelekea mahali tunapoweza kubadilsha hata majina na kutumia majina kama baby na hata honey na sisemi uongo tumeanzisha timu inaitwa ULIPO TUPO hii na yangu mimi na amaizing maadam tunaienjoy sana tuna wakaribisha team yetu pia..
Nikupongeze kwa hatua uliyofikia , hadi hapo umepambana vya kutosha angekuwa mwingine akeshapita hivi .... kikubwa pambana na ujaribu kuangalia zile drama za kikorea kwani zina mafundisho mengi ya namna ya kuweza kumdekea mwenzi wako...
 
Nahahidi sintolala nitaifanya hii homework maana ndiyo maagizo niliyopewa na amaizing (baby)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom