Matamko meeeeeengiSisi 1961 bado tupo tupo
Kazoea majeshi ya wanyamapori aliwahi kuajiriwaNdivyo liitwavyo.
Zama zake zishapitaHuwa namkubali sana huyu jamaa, hasa wakati wake akiwa Inter Milan ya Jose Mourinho.
Ya kuuzia gazetiHii ya habari ya griezmann kutua United ni kweli?
Hiyo nayo ni shidaKazoea majeshi ya wanyamapori aliwahi kuajiriwa
...........
Morning! Kabla ya ukuta nilikua siwez kulogin kabisa ndo nika reinstall app sasa ishu imebaki pm siwezi kuingia wala kutuma.. Mara ya mwisho nimeclear chat jana mchana lakin badoMi nadhani ulikuwa unapata tatizo hilo kipindi cha kabla ya ukuta. Ila baada ya tarehe 1 kupita rudia kuclear chat na kila kitu kitakuwa alright.
HahahaaLeo katika Historia;
Kwa Udhamini mnono wa Kupatwa kwa Vikongwe Forum, tukutane kesho.
Karibu JJ kwa magazeti.
Sabato njema.
Byee!!!
Kwan walitawaliwa na nani hawa?Leo katika Historia:
1971 - Qatar yajitangazia Uhuru wake.
Sasa mods utawapm vipi? Au utaenda jukwaa la malalamiko?Morning! Kabla ya ukuta nilikua siwez kulogin kabisa ndo nika reinstall app sasa ishu imebaki pm siwezi kuingia wala kutuma.. Mara ya mwisho nimeclear chat jana mchana lakin bado
Ifute yote uidownload mpya Leo kwa mara ya mwisho. Ikishindikana utaenda kuweka uzi jukwaa la malalamikoMorning! Kabla ya ukuta nilikua siwez kulogin kabisa ndo nika reinstall app sasa ishu imebaki pm siwezi kuingia wala kutuma.. Mara ya mwisho nimeclear chat jana mchana lakin bado
Pamejengeka sana, siku hizi wanapata watalii wengi sana kutoka ulaya na marekaniKumbe 1971 tu?? Ila Qatar kuzuri jamani, yani waarabu wanajua kujenga
Yap ndo nafikiria hivyoSasa mods utawapm vipi? Au utaenda jukwaa la malalamiko?
Ni kweli, mtu ikitokea tu umepita njia hiyo unatamani hata utoke uende mitaani kidogo ukajionee kwa machoPamejengeka sana, siku hizi wanapata watalii wengi sana kutoka ulaya na marekani
Tatizo nimekaririAcha undezi ht JWTZ kirefu chake hujui watu=wananchi
.............
Nshafanya hivyo mara 3 ila ngoja nifanye tena mara ya mwisho kabisa kwa ajili yakoIfute yote uidownload mpya Leo kwa mara ya mwisho. Ikishindikana utaenda kuweka uzi jukwaa la malalamiko
There you areNshafanya hivyo mara 3 ila ngoja nifanye tena mara ya mwisho kabisa kwa ajili yako
Haha sure, yan unakuta mtu labda unasubiri saa zima kuconnect flight basi unatamani hata uingie mtaani kabisaNi kweli, mtu ikitokea tu umepita njia hiyo unatamani hata utoke uende mitaani kidogo ukajionee kwa macho
Nzuri kijana wa mujini...Habari zenu wandugu