Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Kwa umri huu labda Animation tu ila Cartoon nimewaachia Nephew na Niece zangu labda kama kampan tu.Mi napenda zaidi movie za katuni,za kutisha sana na za vichekesho
............
Katuni zipo kwenye damu mi mwenyewe mchorajiKwa umri huu labda Animation tu ila Cartoon nimewaachia Nephew na Niece zangu labda kama kampan tu.
Ndio nimeligundua hilo....Ume-misquote
Nitafutie huyo mtu kwa gharama yeyote asee ntalipiaSijamuona ngoja nimtafute aisee
Huna haja ya kulipia we ni shem bhaana,nimemtext tayar ila nahisi amezima data.Nitafutie huyo mtu kwa gharama yeyote asee ntalipia
Jamaa anafikiria kupunguza zaid we unasema kuongezaMishahara tu kuongezwa sijui
HAZINA km jina lake yaani akaunti HAZINA fedha
............
Una kipaj cha kuchora? hongera sanaKatuni zipo kwenye damu mi mwenyewe mchoraji
Sema kuna katuni za watoto lkn zingine hazina rika
........
.
Ayaaaaa....Jamaa anafikiria kupunguza zaid we unasema kuongeza
KawaidaUna kipaj cha kuchora? hongera sana
Tunaelekea Chato kwa ndege ya pangaboi(Bombaider Q400)Ayaaaaa...., huku tunakoelekea ni wapi kwani ujue mi sielewi....
Amepunguza sanaJamaa anafikiria kupunguza zaid we unasema kuongeza
Utaelewa tuAyaaaaa...., huku tunakoelekea ni wapi kwani ujue mi sielewi....
Nashukuru shem lake, nimemmiss mpaka nahisi kupata wazimu afu ningemchek hata huko mpopaita Pm ila siwez kuingia app bado inazinguaHuna haja ya kulipia we ni shem bhaana,nimemtext tayar ila nahisi amezima data.
Nakubaliana na weweKawaida
Yangu Primary nilikuwa namsaidia ticha kuchora mfano ramani ubaoni n.k
Bongo vipaji vinajifia tu
..............
Very true, hata mi primary nlikua nachora sana na kuna kipindi nilienda mpaka mashindano ya kimkoa judge alikuaga masoud kipanya lakin baadae nlijikuta nimeacha baada ya kukomaliwa niconcentrate na shuleKawaida
Yangu Primary nilikuwa namsaidia ticha kuchora mfano ramani ubaoni n.k
Bongo vipaji vinajifia tu
..............
Kaz ipo..Amepunguza sana