Hawezi, lazima atoe notes kwenye gazeti la serikali na atoe muda maalumu ya matumizi ya fedha kuondoka kwenye mzunguko,wakati huo na pesa mpya ikiwa kwenye mzunguko
Yaani wewe Briz humfaham huyu binadamu kweli anaweza kushtukiza ukabaki mdomo wazi...si unaona mambo mengi yanayofanyika ni by surprise tu au huoni shem lake?