Maneno mujarab kabisa, huyu mama lazima alikua ni kichwa kiuchumiNUKUU NO 1#
Ni muhimu madeni yalipwe lakini si lazima yalipwe kwa garama kubwa inayosababisha njaa kwa wananchi,
Dunia ni lazima iwe na uwazi wenye misingi ya demokrasia katika kusaka maelewano yatakayozaa muundo wa ulipaji wa madeni ya kimataifa
Haya yalisemwa na Cristina Elisabet Fernandez de Kirchner, aliyekuwa Rais wa Argentina kuanzia mwaka 2007 hadi 2015
Mwana mama huyo alizaliwa Feb 19,1953
Ni mjane wa Rais wa zamani wa Argentina, Nestor Kirchner na ni mwanamke wa pili kushika wadhifa wa Rais Argentina, akitanguliwa na Isabel Martinez de Peron, aliyeshika wadhifa huo mwaka 1974 hadi 1976
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Asante, mishe zinaendaje?Na kwako pia
Hawezi, lazima atoe notes kwenye gazeti la serikali na atoe muda maalumu ya matumizi ya fedha kuondoka kwenye mzunguko,wakati huo na pesa mpya ikiwa kwenye mzungukoNa atafanya kweli jamaa hatabiriki wala hashauriki.
Zinaenda vizuri, vp pande hizoAsante, mishe zinaendaje?
Lakin inaweza isisaidie sana kuwakamata hao anaowadhaniaNa atafanya kweli jamaa hatabiriki wala hashauriki.
Ni kwema, mambo yanaenda kama kawaidaZinaenda vizuri, vp pande hizo
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Ni kwema, mambo yanaenda kama kawaida
Bongoland everything is PolifixKipindi cha nyerere alikua anawaweza wanaoficha hela kwa kuwa ilikua ni ngumu kubadilisha hela mitaani ilikua ni benki kuu pekee lakin sa ivi sidhani kama kuna anayeficha hela bila kuzibadili kwanza na hata hivyo ma-bereau de change yamejaa kibao... Sio kitu kirahisi sana kuchapisha fedha mpya kama mkulu anavyosema hasa nyakati hizi
NzuriHii Cartoon niliipenda sana hata nikiicheck leo bado nita enjoy.
Sept 2,Bongoland everything is Polifix
Now ni August 2 nani keshahamia Dom
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........