Jirani ni kwel kwenye movir tunadanganywa maana mi kuna mmoja nilimfahamu alishiriki hiyo vita pia...alinambia wenzake wote walikufa vibaya sana na yeye alipugwa risasi ya bega na akachomwa visu vya kifua sana tu ila siku yake haikufika..yeye mwenyewe naye kafa mwaka jana sema alikuwa ameshaachana na mambo ya Jeshi! sema alisema kuna poison wa Vietnam walikuwa Wanawatega wao Wamarekan sasa ilikuwa inaua mwili taratibu...akasema jamaa wa Vietnam walikuwa wana technics sana sio watu wa kuchezewa.
Nahis aliongea kimasihara, hawez kuwa serious.. Sasa ubadilishe pesa, ndio inakuwa nini.. Coz unapobadlisha nao wanaziweka kwenye mzunguko zinabadilika.. Hakn mwiz wa kuhifadhi pesa ndan tu bila kuizungusha, n wengine waishaweka katika dolarii..
Kipindi cha nyerere alikua anawaweza wanaoficha hela kwa kuwa ilikua ni ngumu kubadilisha hela mitaani ilikua ni benki kuu pekee lakin sa ivi sidhani kama kuna anayeficha hela bila kuzibadili kwanza na hata hivyo ma-bereau de change yamejaa kibao... Sio kitu kirahisi sana kuchapisha fedha mpya kama mkulu anavyosema hasa nyakati hizi